hujui kitu muhimu kwako mpaka

hujui kitu muhimu kwako mpaka

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
tuna kumis,tunajua unaumwa.
tumejua umuhimu kwetu na tuna omba kukusaidia matibabu.
nipo tiyari kukuchangia kwenda india kwa matibabu.
nielekeze wapi nitume mchango.
na a hidi kuchangia sh 10,000.
huu si utani ni wakati wa kuelewa umuhimu wa jf.
unapata habari na vitu vingi bila kulipia.
long live jf
 
Mkuu umenena ila kiasi unachochanga haliendani na tatizo la mgojwa kweli atafika india huyu???
 
Mkuu umenena ila kiasi unachochanga haliendani na tatizo la mgojwa kweli atafika india huyu???
Hii ni harambee,tukidhubutu tutaweza kumpeleka mgonjwa india.
 
Nami nachangia 10,000 ila nachangia wapi? kivipi?
 
Back
Top Bottom