Jerry Muro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jerry Muro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kitero, May 22, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. k

  kitero JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpambanaji Jerry Muro yuko wapi kwa sasa baada ya kushinda kesi yake? Anafaa kuwa mwana siasa kama upo huku JF tunakukaribisha CDM.
   
 2. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nikupe yake ya mkononi umtrace?
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Gongo nyingine bwana!!!!!!
   
 4. s

  slufay JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  camerun
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Baada ya jibu hili nitakuomba ufunge Thread yako ama mod afunge.

  Jerry Muro yuko Tumaini University anasoma mwaka wa tatu branch ya dar ndio anamalizia mwaka huu sababu kule UDSM hakumaliza baada ya ku-disco muda mfupi kabla hajajiunga ITV wakati ule. Akimaliza chuo tutajua mwelekeo wake ni wapi.

  Narudia, funga uzi wako sasa au hamisha kutoka hapa maana Jerry has nothing to do with Jukwaa la Siasa! Kwaheri!
   
 6. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  umenena!
   
 7. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Mbona haifungwi hii thread?
   
 8. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Naimani mwongozo wako utazingatiwa Mwana Mpotevu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mkuu chombo ya Kihonda au Dakawa hiyo. Sharti uwe umekandamiza kitimoto kwanza. La sivyo unaumbuka.
   
 10. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kumbe bado huu uzi haujafungwa, ngoja na mimi niandike...
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...