Wamenimalima kabastola kangu

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,673
Nipo jijini dar es salaam kwa likizo yangu ya mwaka, Jana nililala katika hotel moja kubwa maeneo ya mbezi Baharini , katika Hali ya huzuni Leo alfajiri nimegundua Wamenimalima ka bastola kangu, naendelea na uchunguzi
 
PhD pole kwa mkasa huo, kamilisha uchunguzi wako kisha wawajibishe kwa mujibu wa kanuni yao, ya wewe kukabidhi mali yako ya thamani kwao na kuibiwa ikiwa mikononi mwao au nawe ulisimamia kanuni ya masharti ya silaha kuwa nayo muda wote?
 
Last edited by a moderator:
MZEE hizo ni totoz na vishingo tu mzee, ona sasa faida yake...hayo ndo yalee yaliyowakuta zile njemba za OBAMA kule columbia...aibu..
 
tukio hili ni la kuhuzisha sana , maelezo ya wenye hotel hayaingii akilini kabisa it is some sort of a well organised and coordinated crime
 
Ukiwa na bastola unatakiwa kuwa makini hasa kama watu walishajua unamiliki bastola.
 
Rudi kona bar ulipomchukua,utamwona mwombe akurudishie.
 
Nipo jijini dar es salaam kwa likizo yangu ya mwaka, Jana nililala katika hotel moja kubwa maeneo ya mbezi Baharini , katika Hali ya huzuni Leo alfajiri nimegundua Wamenimalima ka bastola kangu, naendelea na uchunguzi

Mkuu ulienda beach hotel kuwinda?
 
ha Ha Ha! Nyie watu mnatuvunja mbavu asubuhi asubuhi!

Back
Top Bottom