Tanzania Postal bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Postal bank

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzurimie, May 22, 2012.

 1. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Naomba mwenye fomu ile ya ku update customer details ya benki hii anirushie humu. kama una link nitafurahi pia.

  Nimeingia website yao inasema ipo under construction.

  Nashukuru.
   
 2. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Muda wa mwisho uliongezwa na BOT.

  HIvyo usiwe na haraka tembelea TPB Branch wakati wowote ili uhudumiwe, Website yao ndio imelala usingizi unafikiri utafanyaje hapo??  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 3. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Nimeuliza hivi kwanini hukufikiria kuwa mtu hawezi kufika kwenye benki hiyo?

  humu watu wanaweza kuwa nazo na ndo nimeuliza. OK?
   
Loading...