Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hello Jf fellows...! In Life we will or have already encountered different people, different personalities, and some of which that are ugly ones. I know that personalities and our traits makes us...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, mtakumbuka kuwa last tuesday ITV ilionesha baadhi ya wsnanchi wa jimbo la Ukonga, mtaa wa mazizini wakilalamikia ubovu wa barabara itokayo ukonga mombasa kwenda moshi bar kupitia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JK kupitia chama chake ametoa msaada wa shilingi milioni kumi kwa wamachinga wa Mwanza, lakini cha kushangaza hilo fungu limeanza kufanyiwa mchakato kwa watu ambao si wamachinga bali ni ndugu na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Shibuda amesema kwamba upinzani ni sawa na Chokoraa,,,,,,, mie yangu macho na maskio tu. Sosi:nipashe
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wakuu, leo mida ya mchana nilikuwa hapa monduli mitaa ya darajani pamoja na baadhi ya wazee wa ccm mahali hapa ambapo ktk mazungumzo yetu tulijadili kuhusu hali ya kisiasa hapa nchini...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Tangu kamanda kova atoe tamko kuwa maandamano ya mkutano wa chadema uliofanyika jana hayaruhusiwi. Nimeanza kujiuliza ana weredi gani na kazi yake? Licha ya watu kwenda kwa wing kama...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Kuna wafanyakazi wa kampuni moja. Wapo zaidi ya kumi wamejikuta hela zao zimetoweka katika mazingira ya kutatanisha katika akaunti zao Za NBC. Na kila mmoja kwa wakati wake alijaribu kufuatilia...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Watukufu wanajamii.Nikiwa peramiho,kuna watu wanatoka kanisani na wanaulizana swali hilo juu.Wanajamii, Imewahi kutokea?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Hapo jana kulikuwa na matukio mawili tofauti, Movement 4 change ya Chadema pale jangwani na mechi ya stars na malawi pale uwanja wa taifa, ndg mwana jf ni tukio lipi lilikukosha?
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Zaidi ya 3000 wavaa magwanda wasema wamechoshwa ccm
0 Reactions
9 Replies
2K Views
napendekeza shibuda avuliwe uanachama chadema
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Ndugu zangu, Kuna wakati nilitua uwanja wa ndege wa Nairobi na kupanda teksi. Nilishangaa sana pale dereva wa teksi alipojitambulisha kwangu kwa kutamka; " I am Peter, and a Kikuyu" Kwamba...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Ninashindwa kushangaa pindi napoona bigbrother ikiendeshwa huku ikikiuka misingi ya uafrika wake Hebu wanajamvi tueleweshane,kama AU ambayo ni platform ya masuala ya Afrika inaweza kudhubutu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau leo ni siku ya tano, hakuna maji, wala tone kwenye mabomba yetu, na sijasikia tamko lolote la DAWASCO.. Kiukweli hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida wa maeneo haya.. Tafadhali DAWASCO...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa hali inayojionyesha hivi sasa ni kwamba CCM inaelekea ukingoni kusambaratika na jeneza lao linapigwa randa ili wazikwe in 2015. Kwa mtaji huu, wale viongozi walafi na wanafiki wa CCM watakuja...
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Habari wakuu jf!jamani mwenzenu nina swali kwa wale watumiaji wa jiko la gesi,swali ni je?naweza kupikia jiko la gesi afu at the same time liko karibu na jiko la mkaa lenye moto je kuna madhara...
0 Reactions
33 Replies
13K Views
KATIKA HABARI YENU KICHWA CHA HABARI KINASEMA CHADEMA WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MKUTANO WAO. swali langu ni kuwa mna ushahidi gani kuwa waliojitokeza ni chadema peke yao? kwa nini mmeanza vizuri...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Kikundi kimoja kimechoma kanisa,nyumba na magari kisa muungano FAROUQ KALIM atoa ufafanuzi badae itv na redio1
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili ni geti ambalo lilikuwa lina pingwa vikali na wananchi wa wilaya ya kilombero hususani wakazi wa ifakara Mpaka kidatu kutokana na kutozwa ushuru wa mazao yao ya chakula ndani ya wilaya leo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
After postponing the annual Karibu Travel and Tourism Fair (KTTF), which usually takes place in Arusha during the first week of June, the Tanzania Association of Tour Operators (TATO) is facing...
1 Reactions
0 Replies
981 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…