Usanii na Ufisadi wa CCM mwingine huu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usanii na Ufisadi wa CCM mwingine huu hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Josephine03, May 27, 2012.

 1. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  JK kupitia chama chake ametoa msaada wa shilingi milioni kumi kwa wamachinga wa Mwanza, lakini cha kushangaza hilo fungu limeanza kufanyiwa mchakato kwa watu ambao si wamachinga bali ni ndugu na jamaa wa karibu wa viongozi wa CCM. Hii habari nimeipata kutoka kwa jamaa yangu wa karibu ambaye baada ya kuiona nilijaribu kumpigia kujua ya zaidi akanijibu kanyaboya hiyo, sababu kuna masharti ambayo mmachinga wa kawaida hataweza yafikia. Niliposikia nikayakumbuka yaliyoitwa mabilioni ya Kikwete. Sijui huyu mwenyekiti na rais anawatendaji wa aina gani
   
 2. P

  Pwito Senior Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimeiona kwenye Star TV nikacheki zile sura za wamachinga nikapata jibu kama lako. Yaani hii Nyinyiem hii, mwenzenu naona 2015 mbali kabisa
   
 3. Atabase Agaya

  Atabase Agaya Senior Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kazi kweli kweli!
   
 4. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndo hivyo washalizwa watu na mazuzu ndo bado wanaowashabikia mafisadi hapa
   
 5. k

  kanganyoro Senior Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waache wale, siku zao zinahesabika.
   
 6. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kazi ipo ndani ya chama cha magamba
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Kwani hata yale mabilion ya jk wamachinga waliyaona! Yoote alichukua riz1
   
 8. P

  Pwito Senior Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kinachoniudhi ni vijana ndio wanalizwa ambao kila siku tunawahamasisha kukipiga vita hichi kinyinyiem lakini hawatuelewi, natamani niwadunde makwenzi labda akili itaingia
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Cheza na SISIMWEWE wewe!!!!
   
 10. M

  Matatachacha New Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Endelea kutupasha MKUU. Je wanaodanganywa hawachoki
   
 11. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wasiwasi wangu ni kwamba wamachinga wa Mikoa mingine watahamasika na kuhisi kuwa serikali imeanza kuwajali wakati ni changa la macho. Ushauri wangu nguvu ya umma tuwape miezi mitatu tu alafu tupitie kufuatilia hao wamachinga tuje na ripoti kamili najua hii itafanikiwa tukiweka mikakati wakati wa kampeni zetu
   
 12. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama kuna jipya la kupashwa kuhusu hii nchi yetu mkuu maana hili lichama linajulikana kila linachofanya ni ufisadi tu
   
Loading...