Vikao kujadiri barabara ya Ukonga Mazizini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vikao kujadiri barabara ya Ukonga Mazizini.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, May 27, 2012.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Wana JF, mtakumbuka kuwa last tuesday ITV ilionesha baadhi ya wsnanchi wa jimbo la Ukonga, mtaa wa mazizini wakilalamikia ubovu wa barabara itokayo ukonga mombasa kwenda moshi bar kupitia mazizini. Alionekana pia mbunge wa jimbo hilo akileleza kuwa barabara zotee za jimbo hilo zinamatatizo. Sambamba na taarifa hiyo, wananchi walikubaliana kuwa na vikao jumapili(leo) ili kujadiri namna gani kilio chao kisikike kwa serikali. Leo wananchi wengi sana walikuwa wamekusnyika kwenye bar moja iliyoko karibu na leri ya tazara kwenye barabara tajwa ili kufanya kikao kama walivyokubaliana wiki iliyopita, watu wengi waliitikia wito. Cha kushangaza wakati kikao kitanaka kuanza, mmiliki wa bar akawaomba wasifanyie kikao kwenye bar hiyo(Ruko) kwani mda mfupi alikuwa amepokea barua kutoka kwa OCD -stakishari na mahakama ya kisutu inayomkataza kufanya au kuendesha kikao hicho kwenye bar hiyo, inasemekana kuwa barua ilitamka bayana kuwa kama atakiuka amri hiyo basi atazuiwa kuendesha biashara ya bar. Hata hivyo, wananchi wenye hasira walienda lufanyia kikao kwenye uwanja wa mpira ulioko jirani na reli. Nitaendelea kuwajuza kilichojiri kwenye kikao hicho. Alamsiki.
   
Loading...