Hii Picha inatupeleka wapi? Una maoni gani juu ya picha hiyo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Picha inatupeleka wapi? Una maoni gani juu ya picha hiyo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzee wa njaa, May 30, 2012.

 1. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hatari-sana.jpg

  Hizi ni hasira au? Hata kama unachuki na CCM ndio ufanye hivi?

  Toa maoni.
   
 2. z

  zanzibar huru Senior Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  watu washachoka. Halafu tusitake kutishana. Huyu mbona ana VVU huu mwaka wa 20 na hajafa wala nini na anazidi kuwa milionea

  Magamba wanachosha
  [​IMG]
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  say no more!
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo ni muathirika. Na hiyohiyo serikali inayoendeshwa na CCM ndio inayompatia ARV za bure!
   
 5. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  "The pumpkin of the old homestead should be uprooted"
   
 6. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  yaani huo ndo ukweli kabisa,unaweza kuishi na vvu ukawa na matumaini lakini kuishi na nyinyi-m matumaini hakuna kabisa.
   
 7. z

  zanzibar huru Senior Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hiyo website inafanya kazi?
   
 8. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0

  nadhani alitaka atuwekee hii picha. hiyo website aliyotoa picha hairuhusu "hotlinking"
   

  Attached Files:

  • xx.jpg
   xx.jpg
   File size:
   95.6 KB
   Views:
   118
 9. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  huo ndio uhuru wa maoni unaotolewa na ibara ya 18 ya katiba hii ya sasa hata kama tunaibadili. lakini pia tujiulize shibuda alivyowaita wapinzani machokoraa haikuwa kauli mbovu?au kauli mbovu na ya kudhalilisha ni ile inayotolewa dhidi ya ccm peke yake?lakini pia hata mkuu wa kaya leo ameripotiwa kwenye magazeti akikiri wazi ccm kupoteza muelekeo na kupwaya vibaya kiutendaji an kuwataka ma -dc wapya na wakuu wa mikoa kuiokoa isife haraka.
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Maoni yangu binafsi!

  Ni kweli kbs ya kwmb ni KHERI uishi na .GONJWA hili lisilo na tiba wala kinga kuliko ccm waendelee kuwa madarakani!

  Hili la hawa mafisadi limekuwa Janga kwa Taifa letu la Maziwa na Asali!

  Ni pointi yangu ndani ya nafsi yangu kwa 100% sitaki hata nisikie chichiem ikogo hewani tena!

  Ni JANGA KUBWA kwa Taifa letu la


  Maziwa na Asali!
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  watu wamejichookea
   
 12. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  VVU humuathiri mtu mmoja wakati CCM imeathiri mamilioni ya watanzania. Hivyo hatari ya VVU ni ndogo ikilinganishwa na ya CCM. Isitoshe, kupamba na VVU ni rahisi kwani havina polisi wala pesa bali umakini wa mhusika. CCM ina majeshi, Usalama wa taifa, polisi, makanjanja na zana nyingine nyingi za maangamizi. Hivyo aliyebuni hilo tamko hajakosea.
   
 13. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bora Kufa kuliko kuliko kuendelea kuongozwa na SHISHIM
   
 14. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Nilidhani ni kwa msaada wa watu wa marekani
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Naifikiria siku ambayo Serikali itakuwa na uwiano kama ulivyo kwa wabunge wa upendeleo wa chadema. Kazi ipo.
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kumbe unaelewa zile safari za Kikwete za Merekani zinazaa matunda.
   
 17. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Wacha ushabiki wa kijinga **** wewe! Siyo kila kitu ni Black & White kama Simba & Yanga. Kudaadeki!
   
 18. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,342
  Likes Received: 6,687
  Trophy Points: 280
  mmmh!hata kama tumeichoka lkn vitu hivi viwili sidhani kama vinashabihiana kulinganishwa!!...speach less... japo kichwani naona kuna kitu cha kuandika
   
 19. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni ukweli usio pingika
   
 20. s

  security guard JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Punguza ushabiki usiokuwa na mantiki na acha tabia za kichonganishi imefika wakati wa kuzungumza yale mazuri kwa nchi yetu nzuri.
   
Loading...