Naombeni ushauri juu ya hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri juu ya hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by frema120, May 31, 2012.

 1. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nilitapeliwa sh 1,600,000 na ndg. fulani, kisha akatoloka kwa masiku kadhaa, nikatoa taarifa ya kuibiwa polisi urafiki ubungo na kupatiwa RB... wakati wa mizunguko ya ndugu zangu wa karibu wakamuona mwiz wangu sehemu nilipotoa taarifa polisi niliombwa sh 40000 kwa ajili ya usafiri kumfata kimala ( sikutoa), nikaenda mwenyewe nakufanikiwa kumkamata na wasamalimia wema mpaka polisi, hakatupwa ndani polisi aliyekuepo zamu akaniomba ya maji ya kumshungulikia (sikutoa na kunitishia) baadaa ya siku mbili nikapangiwa mpelelezi wa kesi hiyo naye akaniomba sh 100,000 iliafanye kazi kwa haraka sanaaa mpaka sasa tunasumbua nayeeeee n.k

  je nifanyaje wakuu? ushauri na maoni karibu.

  Nimejaribu kunukuu vifungu vywa katiba na sheria mbalimbali juu ya hili nimeonekana mkolofi na kutishiwa.......
   
 2. m

  mandemba Senior Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jitahidi uwe wa kwanza kutoa maoni kwenye tume ya katiba
   
 3. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Pole sana ndugu yangu, Mungu yupo upande wako. Usikubali hata siku moja kutoa rushwa. Jaribu kushirikiana na takukuru kama wasipokuwa na ushirikiano endelea kumwamini Mungu. Hakuna kitu kinachotokea bila kusudi la Mungu. Mungu yupo juu ya yote anajua unachokumbana nacho. Haki yako utaipata.
   
 4. K

  Kevin.A Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.MOD hili sio sehemu yake hapa.ONDOA
   
 5. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Hao ndo polisi wetu kaka. Yaani wewe una shida, umeibiwa halafu unaambiwa utoe pesa ili mwizi akakamatwe! Pengine wakienda kwa mwizi nae wanamuambia atoe pesa ili wasimkamate.. Kwanza polisi hao wanawafahamu wezi wote kwahiyo hata ukitoa pesa bado wanaweza wasifanye lolote.
  Mimi kuna wakati niliibiwa yaani ilikuwa ni usumbufu na vitu havikupatikana hadi leo. So disappointing.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Piga namba hii 0764888000 -Director Dr Hosea PCCB
   
 7. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  unataka uonekane unajua sanaaaaa
  au ujui siasa sasa ndio inapelekea haya
  kama huonichakushauri kaakimyaaaaaaaaaaaaaaa
   
 8. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  nimempigia asante sanaa
  naona nitafanikiwa....
   
Loading...