Prof.Musofe (loan officer UDOM),tatua kero hii tuishi kwa amani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof.Musofe (loan officer UDOM),tatua kero hii tuishi kwa amani!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uncle Jei Jei, May 31, 2012.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Imekuwa kama utamaduni wa UDOM, kila majina ya wanafunzi kusain pesa zao za meals and accomodation yanapoletwa chuoni, baadhi hukosa majina yao! Katika hatua za mwanzo, watu hao hulazimika kuandika na kusaini pembeni wakiwa na matumaini ya tatizo lao kushughulikiwa. Cha ajabu, mpaka sasa kuna kikundi cha wanafunzi kadhaa ambao hawajapata pesa zao tangu semista ya kwanza! Kati ya hawa, kuna mwaka wa kwanza, pili na watatu! Wengine hawajapata awamu zote nne,wengine awam tatu huku wengin wamelipwa awam mbili tu! Majibu kutoka kwa muhusika mkuu wa LOAN UDOM(Prof.Musofe ), ni "tatizo lenu linashughulikiwa, njooni wiki ijayo tutakuwa tumelitatua..." ni zaid ya mwezi sasa majibu ni hayo hayo na mda mwingine yanaambatana na ukali! Hii imekuwa kero kubwa hapa UDOM, tunaomba uongozi hasa unaohusika na mkopo kwa wanafunzi umulikwe! Iweje mtu yuko mwaka wa tatu, amepata pesa zote tangu mwaka wa kwanza, GPA iko vizur, leo hii akose boom wakati anamaliza?! Bodi wanasema tayari pesa ziko chuoni! Musofe anasema "tunashaghulikia" Hizo pesa ziko kwa nani? Kwanini majibu si ya uhakika? Hatutaki kuamini kuwa kuna wachache au mmoja amezikalia!
   
 2. R

  RC. JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mlacha kazini.
   
Loading...