Makampuni ya uchukuzi kwa kila mkoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makampuni ya uchukuzi kwa kila mkoa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by omben, May 31, 2012.

 1. omben

  omben JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Jamani naomba kujuzwa hizi kampuni za uchukuzi kwa kila mkoa ambazo ni Iringa(iringa retco) Mbeya(mbeya retico)Mwnza(kauma) Ruvuma(kauru) Morogoro(mororetco)n.k. Hivi hizi kampuni ziko wapi maana nimepita Morogoro kwenye karakana ya kampuni hiyo nimeona magari machakavu ambayo yapo juu ya magogo.
  Iringa nimeona hata karakana imegawiwa kwa watu wengine. Mbeya nineona mabasi ya sumury ndiyo yamepaki kwenye hiyo karakana hamuna hata lorry moja la ile kampuni(mbeyaretco). Kwa yule anayefahamu haya makampuni yameuzwa au yamefilisika. Naomba kujuzwa.
   
Loading...