Je kuna umuhimu wa madaktari wa wanyama pori? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna umuhimu wa madaktari wa wanyama pori?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Comi, May 31, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  [h=2]Simba Mikumi ateseka[/h]Wakati Kagasheki akiwasimamisha kazi vigogo hao na askari, gazeti la Daily Mail la Uingereza katika ovuti yake ya Home | Mail Online umeaandika habari ya kusikitisha ya simba dume mdogo ambaye amenashwa na waya shingoni ambao huenda ulitengwa na wawindaji katika mbuga ya Mikumi.

  Picha mbalimbali za simba huyo akiwa amekondeana kutokana na kushindwa kula au kuwinda.

  Habari hiyo iliwekwa kwenye mtandao huo Mei 21, mwaka huu, na hadi sasa haijulikani kama simba huyo ataokolewa kabla ya kufa kwa njaa.

  Tukio hilo linaripotiwa katika vyombo vya habari siku chache tu baada ya moto kuwashwa bungeni juu ya uzembe katika ulinzi wa wanayama pori katika mbuga za wanyama na mapori tengefu, kiasi cha kusababisha biashara haramu ya wanayama hai kushika kasi nchini.

  CHANZO: NIPASHE
   

  Attached Files:

Loading...