Jamani mnatupandishia tena nauli............? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mnatupandishia tena nauli............?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, May 31, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Mamlaka ya usafiri wa nchi kavu na majini(sumatra) na wamiliki mwa daldala(dacoboa), wamejadiliana na kukusudia kupandisha nauli kwa asilimia 150.bila huruma wala kujali kuwa hata hii iliyopo tu wengi wetu hatuimudu, ushahidi angalia mida ya kutoka na kurudi majumbani misururu ya watu pembeni mwa barabara wanavyounga mkono azimio la maisha bora kwa kila mtanzani.kwa kutembea kwa miguu bila kujali umbali. jamani mtuhurumie.
   
 2. F

  Fofader JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Nani akuhurumie? Fanya maamuzi magumu.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  bora maisha kwa kila mtanzania.....

  Kwa ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi.....
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,263
  Trophy Points: 280
  Haya ndio maisha bora kwa kila Mtanzania tuliohaidiwa na Kikwete
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tanzania tutajuta safari hii
   
Loading...