Nakuhakikishieni wafuwasi wa chadema ikiwa leo 30/05/12 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakuhakikishieni wafuwasi wa chadema ikiwa leo 30/05/12

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Falcon, May 31, 2012.

 1. Falcon

  Falcon JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema kimepiga hatuwa katika kuelimisha wananchi na wapongeza wote waliofanisha kufikiwa hilo, isipokuwa napenda kuwaeleza na kuwakumbusha wafuwasi wa Chadema haiwezekani haiwezekani na haito wezakana kabisa kabisa kwa serekali ya CCM kukubali kushindwa na kutowa serekali kwa njia ya amani ,mjitayarishe kupotezewa maisha na kuwekwa vilema kwa wafuwasi wenu. (Tuweke hii kama ukumbusha tutakuja kumbusha hapa 30/05/12)
   
 2. M

  MTK JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Umekuwa Kajura au sheikh yahya babu?! Hiyo huitwa prophesy of doom!! kwani wafuasi wa nyinyiEm wao ni mawe, ni binadamu kama sisi. kwani wao haogopi kufa? je vita ina macho ili ichambue haraka haraka kuwa huyu ni wa NyinyiEm kwa hiyo asife! stop chickening, muulize Laurent Gbagbo, alikataa matokeo halali ya uchaguzi Ivory Coast; leo yuko wapi? the Hague anasubiri kifungo cha miaka 50 kama charles Taylor; NyinyiEM wajaribu waone!! The time for impunity is long gone; kinachotakiwa kwa sasa ni kampeni makini ya elimu ya umma ili gharika la mabadiliko litakapowadia ushindi usiwe wa kufikirika bali wa kuonekana kwamba mabadiliko yamewadia na hapo tuone jeuri ya nyinyiEm kukataa kukabidhi madaraka! anyaway try hard to be part of the revolution na sio kuwaingiza hofu ya kufikirika wapambanaji wengine makini. that said; we shall cross the bridge when we get to it; for now the clock for change is ticking and the writing is on the big screen for averyone to see.
   
 3. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Huo sasa uchochezi.
   
 4. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Kama haitatokea kama unavyoombea je, utachukuwa kamba ya katani!
   
 5. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mh Mbowe M/Kiti Taifa keshasema kule
  mtwara yeye akifa waweke maiti pembeni
  waendelee kulikomboa taifa.na wako wengi
  wanaotaka mabadiliko hata Kiwete mwenyewe
  anakubali,nadhani ni wewe pekee unawasiwasi.
   
Loading...