Tanesco.....mmeoza kila sekta!!mnakera sana!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Tanesco mnakera na mitambo yenu hakuna kitu kinakera kama unaenda kununua umeme unaambiwa network akh!hakuna sehemu tanesco wapo imara kuanzia kwenye menejimenti hadi vitendea kazi network liwe tatizo kwanini msiupgrade device zenu?ili tatizo la network liishe?
 
Pole mkuu. Mie nilidhani matatizo ya network yako VODACOM, AIRTEL, TTCL... tu.
 
mlandizi pia wametukatia umeme tokea jana saa nane usiku mpaka sasa bila taarifa wala hakuna anayejua kilichotokea. Washatindua mtambo wapate hela za kula. Ncii ina wenyewe.
 
ukitaka kujua uhondo wa tanesco kaishi mtoni kijichi, wanakata umeme hata mara kumi kwa siku, yaani kata zima kata zima....
 
Back
Top Bottom