Posted Saturday, June 2 2012 at 17:19
Zanzibar is once again in the headlines for the wrong reasons. The recent flare-ups in Unguja show an ugly face that signals more, perhaps uglier...
Wanajanvi mtakumbuka wakati wa kampeni za mwaka 2010 na baada bwana wakati akikihutubia taifa alitangaza kuwepo kwa udini. Ijapokuwa hakuta ni akina nani wanaeneza udini, lakini wapambe wake...
Pamoja na kwamba kuna vitu tunawaamulia wazanzibari lakini ktk kudai muungano uliosawa mametuacha, wana nchi yao na katba yao sisi Tanganyika haipo na hatujali. Tunalipa ushuru bidhaa za zenj wao...
Ukimwona Dr anavyoishika mic, kwa mkono wake wa kushoto, ambao aliumia mwanzoni mwa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010, utagundua mkono wake haujarudia katika hali ya kawaida.
Napata shaka na...
Hii ndiyo tofauti yetu nchi maskini- Tanzania na wenzetu walioendelea; UWAJIBIKAJI!!!! sisi ni wapuuzi, tena sana! tuna sheria nyingi lakini hazifanyi kazi maana zikivunjwa adhabu stahiki...
Hili suala la machafuko ya Zanzibar mi naona ni matokeo ya mfomo mbovu uliopo na unaoendelea kuwepo chini ya Serikali hii ya majoka ambayo imeshindwa kabisa kuja na suluhisho la kudumu la matatizo...
BINAFSI NAFURAHISHWA SAANA NA NAPE KWA KUKIMALIZA CHAMA CHAKE NI MTU ANAYEJIJENGA BINAFSI BADALA YA CHAMA NIMEFURAHISHWA NA HILI KWA SABABU HILI LINASAIDIA SANA KUONGEZEKA KWA WAFUASI NA WAPIGA...
Hatimaye Katibu mwenezi na Itikadi nape nauye atoa computer katika tawi la smmuco(compus ya mwika) ikiwa ni ahadi yake wakati wa kuzindua tawi hilo.Hii jitihada za kuhakisha chama cha mapinduzi...
Wakuu,
Nimeguswa sana na makala ambayo imeonekana kwenye gazeti la Tanzania Daima leo iliyoandaliwa na Lucy Ngowi. Hii inahusiana na kampeni ya kuufanya Uwanja Wa Kimataifa wa JN kutokuwa na...
Jana kulikuwa na hotuba ya Mh Dk Shein kuhsu halia ya Zanzibar baada ya vurugu za uamsho</p>
<ukiangalia hotuba ile ilijaa hekima ya hali ya juu kuhusu kilichotokea
kwa mfano. MMoja ya mwandishi...
Leo katika matembezi yangu nikakutana na gari linalotangaza kwamba hivi karibuni (ndani ya wiki moja) ndege ya 540 inatarajia kuanza safari za Kigoma - Mwanza - Dar es Salaam <---
Wapendwa kuna hii biashara ya kuuza kahawa Kimachinga. Watanzania tuone aibu kwa watu wetu kuchuuza kahawa. Kwanza haina tija na pili inafanyika kwenye mazingira ya uchafu sana. Wanatumia maji ya...
Shule moja ya kata,katika mkoa maarufu kanda ya mashariki inafanya shughuli zake kwa mda wa mwaka na nusu sasa bila bodi,hebu fikiria nidhamu iko vipi katika shule hiyo?je nani anajadili taaluma...
Nafatilia kwa umakini sana huu mkutano wa mwaka wa AfDB.. Benki ya maendeleo ya Afrika.. Ninachoshangaa ni muheshimiwa rais wangu Dk. JK toka wenzake waanze kutoa hotuba ye yuko bize kuandika...
Watanzania wanaoteswa na mfumo mchafu wa ccem na kuendelea kuteseka katika nchi yenye utajiri wa kila kitu hatimaye wamebatizwa jina la oili chafu. Jamani ntashangaa sana kama kuna mtanzania...
Majuzi kati huko kwenu kuna jengo limelipuliwa na al shabaab, Tanzania hatukusema kitu zaidi ya kuwaombea dua. leo hii vuruku ya wahuni na polisi barabarani mnashika bango...
Wiki nzima sasa gazeti hilo lilitoa habari kuhusu uchomaji wa makanisa iliofanyika zanzibar
hii ni wazi walikuwa na mwakilishi aliekuwa anajituma kutafuta habari.
lkn kwanini gazeti hilo leo...
Inaelekea vyuo karibia vyote vinaongozwa na serekali ya wanafunzi yenye itikadi za chadema..naombeni tutaje vyuo na uongoz wake ili 2jue kipi ni cha magamba..
UDSM-CDM
UDOM-CDM
ST AUGUSTINE-CDM...