Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Wapendwa kuna hii biashara ya kuuza kahawa Kimachinga. Watanzania tuone aibu kwa watu wetu kuchuuza kahawa. Kwanza haina tija na pili inafanyika kwenye mazingira ya uchafu sana. Wanatumia maji ya kidumu kuosha vikombe vyote. Ni hatari sana kiafya.