Oil chafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oil chafu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by matawi, Jun 2, 2012.

 1. m

  matawi JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Watanzania wanaoteswa na mfumo mchafu wa ccem na kuendelea kuteseka katika nchi yenye utajiri wa kila kitu hatimaye wamebatizwa jina la oili chafu. Jamani ntashangaa sana kama kuna mtanzania maskini bado anaendelea kubaki huko
   
Loading...