Kenya inawahusu nini...........? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya inawahusu nini...........?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Jun 1, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Majuzi kati huko kwenu kuna jengo limelipuliwa na al shabaab, Tanzania hatukusema kitu zaidi ya kuwaombea dua. leo hii vuruku ya wahuni na polisi barabarani mnashika bango kuutangazia ulimwengu eti tanzania visiwani hali ni mbaya , na kwa hiyo usalama wa watalii ni mdogo. HUO NDO USHIRIKIANO MNAOUTAKA.........?
   
 2. A

  Activist p Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kenya acheni viherehere
   
 3. kshaka

  kshaka JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni wapi Kenya limetangazia dunia chochote kuhusu TZ, ebu tupe source tafadhali.
   
 4. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  [TABLE="align: left"]
  [TR]
  [TD="class: date, align: center"]Ijumaa Juni 01, 2012 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: Headline"]Habari za Kitaifa

  Magazeti Kenya yapotosha kuhusu Zanzibar
  Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko; Tarehe: 30th May 2012 @ 15:59 Imesomwa na watu: 1270; Jumla ya maoni: 7
  SOURCE-HABARILEO
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,462
  Trophy Points: 280
  vyombo vya habari Tanzania navyo vimelala mno hapa inabidi jino kwa jino.
   
 6. kshaka

  kshaka JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ni tetesi tu, nataka kuona gazeti la Kenya lililo sambaza habari hiyo. Nimetafuta kwa magazeti yote ya Kenya na sijaiona.
   
 7. ndinga

  ndinga Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa wenzetu Kenya sio wastaarabu hata hiyo jumuiya ya Afrika Mashariki haina umuhimu kama tumeshaanza kuombeana mabaya. Hivi Kwani tutapoteza nn tukijitoa huko?
   
 8. m

  matsuo Senior Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  There was no such report in any of the Kenyan newspapers. What's wrong with you or it's just a matter of Kenyan xenophobia?
   
 9. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Kama kweli wamefanya hivyo watuombe radhi kupitia hivyo vyombo vya habari walivyovitumia!
   
Loading...