Kwanini gazeti tanzaniadaima limeisusia hotuba ya dk shein kuhusu uamsho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini gazeti tanzaniadaima limeisusia hotuba ya dk shein kuhusu uamsho?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Jun 1, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Wiki nzima sasa gazeti hilo lilitoa habari kuhusu uchomaji wa makanisa iliofanyika zanzibar
  hii ni wazi walikuwa na mwakilishi aliekuwa anajituma kutafuta habari.

  lkn kwanini gazeti hilo leo hakuna sehemu waliozuungumzia hotuba ya Dk shein kuhusu vurugu zilizotokea?
  Au tzdaima hawakufurahia hotuba ile.?
  Jee ni haki Tzdaima kulalia upande mmoja wa shillingi?
  Hii si inawanyima fursa wasomaji wake ambao sio wakiristo?
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Acha hayo, Sio kususia ni Uhuru wa Habari sio lazima kudakia na kudandia kila lisemwalo na serikali kuu
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  mkuu kunamwendelezo wa habari. hivyo inafanya kazi ktk ofisi za kanisa tu?
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kweli unauhakika huo? Yaani kwasababu unajua Mmiliki wa hilo Gazeti sasa unasema inafanya kazi za Kanisa

  Ni Aibu kusikia kuwa wewe umeweka hii habari kwa Mrengo wa kidini, sasa hapo unataka kuongelea Udini? badilisha

  Kichwa cha habari tutakuelewa vizuri sana, na hapo tutakujua kuwa Wakristo waliponyamaza kutokusema chochote

  Kuhusu kuchomewa Maeneo yao ya Sala, haukuandika chochote ulinyamaza sababu nadhani moyoni ulisema GOTCHA!!!
   
 5. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Ahaa, Kumbe Ikulu ya Zanzibar ni ofisi ya msikiti? okay.
   
 6. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ile ilikuwa ni hotuba au alikuwa anatusimulia Historia, ambayo nafikiri wengi wanayo.
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wanataka Kila kitu Zanzibar kiwe msikiti!
   
 8. t

  thatha JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  mimi sikuona tukio la rais kuitsiha press conference halafu unashindwa kuwajuza wasomaji wako.
  hasa ikiwa wewe ndie uliekuwa kinara wa kuapsha habari ile.hapa kuna jambo limejificha ndani ya media hii. sio bure
   
 9. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Pengine si habari, pengine hawakuitwa ili wasiipate hiyo habari km wawafanyiavyo mwanahalisi,pengine ingewekwa ingekuwa sawa na kutumia gazeti kueneza upotoshaji. Je unaweza rusha Mkanda wa Osama akisema "Kuanzia leo Natangaza fatwa , waislam washambulie makanisa yote popote yalipo"; halafu wewe na chombo cha habari ukitumiacho kama si wafuasi/mshabiki wake/mwenzi kiimani wake na matendo yake?

  Issue si kumjenga Shein, issue ni yeye na wenziwe kuwajibika wakati makosa ya jinai na ya kishetani km haya yakifanyika.Sasa km wewe unadhani alipaswa pewa credit kuna shida.
   
 10. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kwani Gazeti la Al Noor halikusaidia na kuandika hiyo hotuba? Sababu haliandiki habari za Kanisa
   
 11. t

  thatha JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  mimi navyojua annur ni gazeti la dini fulani, tzdaima ni lachama fulani. jee kuna uhusiano gani kati ya chama na kanisa?
   
 12. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tanzania Daima haina wasomaji wasio Wakristo! Wasomaji wake ni CHADEMA.. you can connect the dots.....
   
 13. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sasa kitu gani kinakuuma kwanini Usisome Gazeti lingine? Haujui kuna Uhuru wa Magazeti? Kama Uhuru wa Vyama Vya Siasa?
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yeah Zitto Kabwe halisomi Tanzania Daima ? Na ni nini kinachokutesa hadi unataka hiyo hotuba iwe kwenye hilo Gazeti?

  Haujui kuna Freedom of Speech? Wanaweza kuweka au La Sawasawa na wewe unavyotaka na unavyosema
   
 15. t

  thatha JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kwa hivyo hili gazeti limesajiliwa kama gazeti la msemakweli na Kiongozi? mimi najua ni la Chadema
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kuendeleza habari. maana ilikamata hoja ya kuchoma makanisa mpaka kila mtu akashangaa. kama la Dini fulani bora libadilishe usajili.
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kwanza Hotuba ni nyingi, kinachotakiwa ni nani alichoma hayo Makanisa? ina Maana Maadui wa Muungano ni Makanisa?

  Makanisa yalikuwapo tangu 1873, sasa nyie kama mnaona adui ni Kanisa sababu ya Nyerere? kwahiyo Tanzania Daima

  Mnajua Mmiliki wake sasa Mnasema matakayo ni Mkristo; ingekuwa Mwananchi Msingesema lolote, kwanini Mnavisa hivyo?

  Yaani kila siku kuna kitu kwenye koo lenu kizito mnashindwa kumeza lazima mtoe kwa Jaziba la UDINI?
   
 18. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  It seems you have run away what I can say is we have just had enough religion conflicts to make us hate, but not

  enough to make us love one another. Ignorance and Intolerance are the major cause. Whenever you are confronted with

  an opponent. Just conquer him with love. THAT's MY PHILOSOPHY... KINDNESS. We are all Tanganyikan's and Zanzibari's

  I would love Zanzibari's to be happy and free but they need to tolerate their christian neighbors who have been there

  since 1873. PEACE & LOVE!!!
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  siku hizi tanzania sijui imekuaje..mtu akipewa uongozi flani wanaangalia kama ni muislam or mkristo ametokea upande gani wa tanzania eh tunaanza kua kama wakenya...Nyerere alitufundisha kuungana kuishi pamoja bila kujali dini wala makabila lakini siku hizi mh
   
 20. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  hakuna hotuba ya kipumbavv kama ile. Ndo maana hatuendelei kwa sababu ya ubinafsi, ujinga na tamb za viongozi wetu. Wote wanaozuia muungano usijadiliwe wananufaika na muungano. Haiwezekani wazanzibari kibao kwenye wizara zisizo za muungano bara aafu wabara kufanya biashara zanzibar wanachomewa maduka na kufukuzwa. Rais mzima anaongea kwamba uwanja wa ndege unajengwa bila ramani!!?? Hivi nani aliyeturoga??..? Hivi kweli UWANJA WA NDEGE BILA RAMANI?
   
Loading...