Nionavyo: Vurugu za uamsho zimewaleta wazanzibar pamoja kudai zanzibar yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nionavyo: Vurugu za uamsho zimewaleta wazanzibar pamoja kudai zanzibar yao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Jun 1, 2012.

1. t

thatha JF-Expert Member

#1
Jun 1, 2012
Joined: Apr 29, 2011
Messages: 15,234
Likes Received: 179
Trophy Points: 160
Jana kulikuwa na hotuba ya Mh Dk Shein kuhsu halia ya Zanzibar baada ya vurugu za uamsho

<ukiangalia hotuba ile ilijaa hekima ya hali ya juu kuhusu kilichotokea
kwa mfano. MMoja ya mwandishi wa habari wa Tanzania bara ndugu Manyenyere kutoka tanzania bara

aliuliza hivi
"Mh rais, kuna tetesi kwamba UAMSHO inafadhaliwa na nchi za nje kufanya vurugu, jee serekali yako inasemaje

Jibu: Mimi kama rais Sijui na wala sina nia ya kujua, na wala sioni umuhimu wa kujua

hata wewe sioni umuhimu wewe kujua hilo
taasisi husika zipo za kuafanya kazi hiyo

lakn waandishi wengi wa Zanzibar hata magazeti ya serekali ya SMZ waliopewa fursa ya kuuliza walilaumu jeshi la Polisi kwa kututima hekima
kwa mfano. Salim Said Salim aliuliza

Mh inasemekana polisi walimkamata kiongozi wa waislam ndani ya msikiti akisomesha darasa. jee huoni kama hapa hekima haikutumika?

Jibu la Mh rais
hata mimi nilishtuka , lkn polisi kama binaadamu wengine wanakasoro zao

Nje ya Mkutano wa Mh Shein, jumua zote za kiislam za serekali na binafsi zilikaa kikao kujadili swala hili

UAMSHO na jumuia zote za serekali walikubaliana kufanya kazi kwa mashirikiano

2. Masanilo

Masanilo JF-Expert Member

#2
Jun 1, 2012
Joined: Oct 2, 2007
Messages: 22,303
Likes Received: 168
Trophy Points: 160
Kwa kuchoma makanisa na si misikiti? Hatudanganyiki

3. kalamata

kalamata Senior Member

#3
Jun 2, 2012
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 144
Likes Received: 1
Trophy Points: 0

4. babykailama

babykailama JF-Expert Member

#4
Jun 2, 2012
Joined: Mar 5, 2012
Messages: 241
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
Loading...