Ndege ya 540 hiyo Kigoma!

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Leo katika matembezi yangu nikakutana na gari linalotangaza kwamba hivi karibuni (ndani ya wiki moja) ndege ya 540 inatarajia kuanza safari za Kigoma - Mwanza - Dar es Salaam <---
 
Safi sana, huo ushindani baina ya makampuni ya ndege ndio tunaupenda.
 
Asavali.. Kuna ile ilikuwa inatrip za tabora,after ajal,ikafa..nway,wamiliki ni wanani
 
Back
Top Bottom