Uongozi wa serekali za wanafunzi vyuo vikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi wa serekali za wanafunzi vyuo vikuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Medical Dictionary, Jun 2, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Inaelekea vyuo karibia vyote vinaongozwa na serekali ya wanafunzi yenye itikadi za chadema..naombeni tutaje vyuo na uongoz wake ili 2jue kipi ni cha magamba..
  UDSM-CDM
  UDOM-CDM
  ST AUGUSTINE-CDM
  endelezen
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hivi kifupi cha CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO ni kipi? CHADEMA ama CDM?
   
 3. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama ndivyo heri japo sina hakika kama wanaweza kubadili hali ya mambo vyuoni, nilikua udsms jana watu wa ccm walikua na pesa nyingi ambazo inasemakana ilitoka kwa mwakalebela ili kutoa rushwa mgombea wa ccm ashinde, walikua na orodha ya namba za simu na wakaenda kwa muuza vocha pale mabibo hostel nje na kila namba iliwekewa vocha zilikua takribani namba 180 za simu za wana udsm.
   
 4. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  officialy ni chadema sema hapa jf imezoeleka kutumika cdm
   
 5. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kula ccm,kura chadema
   
 6. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,178
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  Selikali haijaliacha lipite hivi hivi ukitaka kujua tafuta GN178 utapata kufunuliwa
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...