Rais wangu Kikwete unatuaibisha..

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Nafatilia kwa umakini sana huu mkutano wa mwaka wa AfDB.. Benki ya maendeleo ya Afrika.. Ninachoshangaa ni muheshimiwa rais wangu Dk. JK toka wenzake waanze kutoa hotuba ye yuko bize kuandika. Sijajua kama anatake note au vp.. Kama ndvyo nini kazi ya sekretari wake? Yaani sikuona concentration yake kama wengne..

Hebu nisaidiane wadau, maana wengne ndo tunajifunza kupitia kwao kwenye mikutano mikubwa kama hii! Na sasa anatoa hotuba yake..

Yule rais wa AfDB.. Kahutubia pasipo kusoma sehemu, very smart man.. Good analysis, excellent presentation.
 
Mh. JK.. Afrika needs to invest more in education.. Especially in science and technology and vocational training!
 
Nafatilia kwa umakini sana huu mkutano wa mwaka wa AfDB.. Benki ya maendeleo ya Afrika.. Ninachoshangaa ni muheshimiwa rais wangu Dk. JK toka wenzake waanze kutoa hotuba ye yuko bize kuandika. Sijajua kama anatake note au vp.. Kama ndvyo nini kazi ya sekretari wake? Yaani sikuona concentration yake kama wengne..

Hebu nisaidiane wadau, maana wengne ndo tunajifunza kupitia kwao kwenye mikutano mikubwa kama hii! Na sasa anatoa hotuba yake..

Yule rais wa AfDB.. Kahutubia pasipo kusoma sehemu, very smart man.. Good analysis, excellent presentation.
8E9U9992.JPG

obama:whats the fuk???
 
Anachukua notes, kwa kuogopa labda baadae kutakuwa na maswali kama kipindi kileee cha SADEC alivyobabaika kujibu maswali rahisi ya uchumi. Mwache tu asije akaumbuka tena.
 
Nilikuwa nafuatilia kupitia DSTV imekata!. Ni kawaida kwa anayetoa key note address ambaye ni JK ku jot down some few talking notes ambazo hazipo kwenye main speech yake. Its normal na sio jambo la aibu, na pia key note address zote huwa zinaandikwa na kusomwa. Hata Oboma huwa anasoma from transparent telepromptor ambayo kamera haiionyeshi hivyo wewe kudhania wanatoa kichwani!. Kama wasoma habari wa TV huwa wanasoma na sio kutoka vichwani mwao!.

Maadam ulikuwa hujui, baada ya kujulishwa mwambia mode arekebishe heading yako!. Jf tumekuwa ni watu wa kumlalamikia sana JK hadi katika vitu ambavyo sio vya ukweli!. Next time weka angalau question mark (?) angalau kupunguza makali kutoka definite to pronability!
Pasco
 
Mkuu kitu usichokijua ni usiku wa giza.Wewe hujui anachokifanya kama anachukua note utajuaje au kama ana mark point za kuzungumzia unajuaje?Kwa hiyo mi nadhani wewe sikiliza hutuba wacha kuangalia matendo
 
Gmba in action!
 
Nafatilia kwa umakini sana huu mkutano wa mwaka wa AfDB.. Benki ya maendeleo ya Afrika.. Ninachoshangaa ni muheshimiwa rais wangu Dk. JK toka wenzake waanze kutoa hotuba ye yuko bize kuandika. Sijajua kama anatake note au vp.. Kama ndvyo nini kazi ya sekretari wake? Yaani sikuona concentration yake kama wengne..

Hebu nisaidiane wadau, maana wengne ndo tunajifunza kupitia kwao kwenye mikutano mikubwa kama hii! Na sasa anatoa hotuba yake..

Yule rais wa AfDB.. Kahutubia pasipo kusoma sehemu, very smart man.. Good analysis, excellent presentation.
Jamani mwacheni achuke notes, labda aka-claim usiku ili ajibu mtihani siku ya pili.
 
Gmba in action!
Mkuu Kimbito, kama Pasco wa JF ni gamba, then gamba langu litakuwa sio lile la nyoka ambalo unaweza kulivua na kuvaa gwanda!. Gamba langu ni la kobe, halibanduki hivyo nitakufa nalo!.

Ukiwa mkweli ni kawaida kuchukiwa!. Simtetei JK kwa madhaifu yake lakini kwenye ukweli siku zote nitasema kweli na nitasimama na ukweli huu.

Hoja dhaifu dhaifu kama hizi ndizo zinazoshusha credibility ya jf. Kiukweli hapa JK ametia aibu gani?.

Ndio maana kila kukicha nalalamika kuwa jf imevamiwa na vichaa na wendawazimu kibao kiasi cha kupelekea karibu kila mwanajf anaweza kuonekana nae ni mwenda wazimu!.

Kama na wewe uu miongoni mwa wanaoona jotting down talking notes ni jambo la kutia aibu, then hakika wee uu mmoja wa wendawazimu wa humu jf!.

Ni uendawazimu kudhani kila anayemtete JK ni gamba!. Sio lazima mpaka uokote makopo!.

Nb. Mnaonifahamu naombeni mnisamehe, wengine wetu kuitwa gamba tunajiona kama tumetukanwa tusi kubwa, hivyo kujikuta unakuwa provoked na kuushia kutoa provocative languages!. Sorry!.
 
Hii ni c.rap. Binafsi simkubali JK lakini hii tabia ya wana-JF kuleta dharau kwa kila anachokifanya itafikia mahali watu wenye akili wataanza kufikiria kuwa tatizo zaidi ni chuki binafsi kuliko aina ya uongozi wa JK.
 
Taking note doesn't mean u don't concentrate but sometimes someone copies what there fellows say or he need to keep record of what others report.so may he did the same
 
Hii ni c.rap. Binafsi simkubali JK lakini hii tabia ya wana-JF kuleta dharau kwa kila anachokifanya itafikia mahali watu wenye akili wataanza kufikiria kuwa tatizo zaidi ni chuki binafsi kuliko aina ya uongozi wa JK.

Yaan is more than C-R-AP mjasiria sasa mtu yupo mkutanoni akae kama sanamu?????.......hapo ndo utajua kuna watu ni kama vinanda humu kila kikiguswa ni mlio tu hata kama ni mtoto anachezea au kwa bahati mbaya....bora na yeye aweke post tu.

Hivi mbumbumbu@ we hujawahi kusoma au kuhudhuria seminars???? Si huwa wanaweka hata notebooks na kalamu.......au we huwa unakula tu nuts na sweets.......msome Pasco@ ndo fani yao hiyo na kakupa insights
 
Mbumbumbu umekwenda kufanya nini kwenye huo mkutano?
Hustahili kuwa huko, sijui umepelekwa na nani kanjanja mkubwa wewe.
Umeenda kuangalia JK anafanya nini kwenye mkutano badala ya kufuatilia ulichotumwa? - aibu na hasara kwa aliyekutuma.

Haya, rudi shule.
 
Binadamu tunatofautiana jamani. Unakumbuka enzi zetu zile za o-level kukiwa na debate? kuna wengine wataingia na karatasi ili kujikumbusha point na wengine wanashusha mambo tu kuonesha wameelewa mada. wengine anakariri akisahau moja tu basi lazima atafute pakutokea. Ukija kwa viongozi wetu wapo wa aina ya Nyerere, Obama, Mkapa, Shein, Pinda na Kikwete n.k. Hawa watu hawafanani katika masuala ya hotuba na hoja, kidogo labda Obama anaweza kushahibiana na Nyerere. Nafikiri kwa harakahara umenipata. Kikwete yeye anahitaji nondo hasa kwa hotuba kama hizo ili asjie akaingiza masuala ya mbayuwau au kiduku, pia itamsaidi asibabaike na hili litamfanya awe smart na inakubalika hii. Kuchukua note ni muhimu kwa aina ya watu ya kikwete ili uwe na mpangilio mzuri wa kujibu na kujieleza. Mikutano mingi ya ndani hasa ile ya kisiasa au sherehe/uzinduzi/ugeni ualikwa amekuwa anajikuta anatamka mambo siyo ndiyo akiwa anatoka nje ya karatasi aliyoandikiwa. Hajafanya baya jamani ni vizuri ili awe kwenye mstari.
 
Nafatilia kwa umakini sana huu mkutano wa mwaka wa AfDB.. Benki ya maendeleo ya Afrika.. Ninachoshangaa ni muheshimiwa rais wangu Dk. JK toka wenzake waanze kutoa hotuba ye yuko bize kuandika. Sijajua kama anatake note au vp.. Kama ndvyo nini kazi ya sekretari wake? Yaani sikuona concentration yake kama wengne..

Hebu nisaidiane wadau, maana wengne ndo tunajifunza kupitia kwao kwenye mikutano mikubwa kama hii! Na sasa anatoa hotuba yake..

Yule rais wa AfDB.. Kahutubia pasipo kusoma sehemu, very smart man.. Good analysis, excellent presentation.

unajua unalinganisha maboga na keki...yaani Dr.Kaberuka unataka kumfananisha na JK?? acheni kudhalilisha u Dr bwana..Kaberuka anajua nini anaongea na nini anafanya ...JK yuko busy kuandika notes yaani kama mtoto wa darasa la pili yuko kwenye debate...huyu alipaswa kuwa waziri wa ujenzi ahangaike na mataluma ya reli na wastaafu wa railways sio urais wa nchi
 
Mkuu kitu usichokijua ni usiku wa giza.Wewe hujui anachokifanya kama anachukua note utajuaje au kama ana mark point za kuzungumzia unajuaje?Kwa hiyo mi nadhani wewe sikiliza hutuba wacha kuangalia matendo

Hakuna cha kuchukua note wala nini anazuga tu,angekuwa mtu wa kuchukua note angekuwa raisi anayeongoza kwa pumba?1. Nchi yetu imeendelea kiuchumi maana magari mengi barabarani 2. Serikali haina namna ya kugeuka wingu la mvua inyeshe pale mtera 3.Kwa nini nchi yako masikini-Hata mimi sijui kwa nini sisi ni masikini 4............................................................. nimechoka kuandika yapo mengi
 
Ni afadhali anayeandika points kwenye karatasi halafu aka present vizuri kuliko ukajifanya kichwa una kremu halafu ukachemka. BIG UP MR PREZIDA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom