Shule ya sekondari kukosa bodi ya shule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule ya sekondari kukosa bodi ya shule

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr Mayunga, Jun 2, 2012.

 1. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Shule moja ya kata,katika mkoa maarufu kanda ya mashariki inafanya shughuli zake kwa mda wa mwaka na nusu sasa bila bodi,hebu fikiria nidhamu iko vipi katika shule hiyo?je nani anajadili taaluma ya shule hiyo?maswala ya uchumi je?Wizara ya elimu mnatuaibisha,MAJALIWA hebu fuatilieni kwa undani,kama shule zote za kata zilizosajiliwa kama zina bodi za shule.Tukifanya hivyo basi tutasonga mbele.
   
 2. Suip

  Suip JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,042
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Zipo nyingi tu na waweka saini katika Akaunti ni Mkuu wa Shule na Mke wake na shule ipo Mkoa wa Arusha..
   
Loading...