Wakati mmoja ninafurahi na wakati fulani nachukia sana. Katika nchi hii yenye neema na baraka za baba wa mbingi unapoona watoto yatima wanateseka na kutumika kama vitega uchumi inasikitisha sana...
Baada ya Mbunge wa Bahi(CCM) kupandishwa kizimbani kwa kosa la kuomba rushwa ya Tsh8ml kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkuranga, Mjumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa...
Wakuu, tizameni video hii muone wanaadamu wanavyoweza kutoa ushuhuda wa mambo ambayo si ya ukweli, je haya yaliyokuwa yanashuhudiwa ni kweli yalitokea?
Maajabu Loliondo Pt. 2 - YouTube
Habari ndugu zangu? Poleni, pamoja na mambo mengine, kukosa mafuta ya taa.
Leo katika kujadili juu ya kukosekana mafuta ya taa katika miji mingi hapa nchini, baadhi ya watu wamesema, waagizaji...
Tanesco vp jaman mbona mnatufanyia madudu sana watu wa kigamboni.umeme kila siku hamna na hatujui sababu ni nini.babra masoud kila tukimsikia ktk vyombo vya habari anadai hakuna mgao wala shida ya...
nilipanda gari moja toka dsm kwenda khm, nilikaa na jamaa mmoja ambaye ni diwani wa chadema, mle ndani ya basi kulikuwa na majibizano mengi ya kisiasa na kuwa mwaka 2015 cdm lazima iende magogoni...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 03/06/2012 // Habari-Picha // 18 Comments
Salma Said,
Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) jana imefanikiwa kufanya mhadhara wake...
Hivi karibuni Bw. Ekelege aliyekuwa Mkurugenzi wa TBS aliyechukua nafasi yake ni Bi. Kenzia Mbwambo, mkurugenzi wa Udhibiti ambaye katika picha hii alikuwa na Bw. EKELEGE Japan na Beijing...
Nitaongea/kuandika kiimani zaidi.
Hekima imenifundisha kuwa kila jambo lina asili yake.
Zanzibar kuna tatizo, tatizo ni kuwa Wazanzibari wanajiona kuwa hawapo huru.
Wanajiona kuwa baada ya...
katika siku za karibuni takriban siku ya nne sasa mtandao wa voda umekuwa ni KERO KUPITA KIASI, network inasumbua na huduma nying hazipatikani kabisa na HAKUNA TAARIFA yeyote ile waliotoa kwa...
Tanzania tells Mugabe to behave like an elder statesman
by Staff reporter | 2012 June 04 | Bulawayo News
Sources who attended the Sadc summit disclosed the meeting was full of the proverbial...
NAOMBA tuweke mawazo yetu katika uchumi na tusome jinsi gani baada ya msamaha mkubwa wa deni 2005 - 2006 - hivi sasa Tanzania tena ina deni la MABILIONI ya DOLA yaani trilioni ktk shilingi! Hii...
Ndugu zanguni
Nimeangalia kwa ukaribu sana na kugundua kuwa ni chama kimoja tu ambacho kina mchanganyiko wenye uwiano unaokubalika na taiafa zima lakini tatizo ni ufisadi ndio unakibomoa hiki...
Wakuu,
Nafurahishwa sana na ITV kutuhabarisha mikutano ya M4C ya CDM kusini mwa TZ inavyoendelea lakini dosari ninayoiona ni kutuonesha picha ya aina moja tu ile ya Jangwani inayoonyesha umati...
Shirika la umeme Tanzania kwa kushirikiana na bank ya Benki ya biashara ya AKIBA ,wamezindua mradi wa mikopo ya huduma kwa watu binafsi utakaojulikana kwa jina la ACB UMEME LOAN.
1...
NIMELISOMA GAZETI LA MWANANCHI LEO NIKAINGIA MTANADAONI KUANGALIA MAONI YA WADAU LOOOOH NIMEKUTANA NA JINA LA MWANA JF AKIMSULUBU MH.KAFULILA KUPITILIZA. HOJA YANGU NDANI YA JAMVI; HIVI CHUKI KWA...