Video: Kwanini tusiirejeshe jamhuri ya watu wa Zanzibar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video: Kwanini tusiirejeshe jamhuri ya watu wa Zanzibar?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kakke, Jun 5, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  nimezisikiliza zote zimetulia
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  kuna jimbo moja lipo kwenye clip ya mwisho ..nimeupenda sana nawatakia watu wa visiwani harakati njema ..mimi naungana nao ..kama wataendesha harakati zao bila udini nina matumaini kuwa lazima wafanikiwe kwani ccm hawatakuwa na sehemu ya kuingiza chokochoko zao. kitu kingine cha wao kuuvunja muungano haraka ni kuacha kuipigia kura ccm kwao wazaznibari wachache wenye madaraka ndio pingamizi la harakati zao kama hawajui
   
 4. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  nimefurahi kuona sasa umeanza kuelewa kuwa wazanzibari hawataniii.


  TUNATAKA MOJA TU NALO NI NCHIYETU YENYE MAMLAKA KAMILI
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  wewe vipi..hakuna mtu ambaye haelewi hili jambo. watu wote wanajua wenye akili zao ila ..kuchoma makanisa ndio hamtaeleweka kwani kuendekeza utamaduni wa kigeni
   
 6. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nawaombea muirudishe jamuhuri yenu haraka ili TANGANYIKA yangu izaliwe upya.
   
 7. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  makanisa wanachoma usalama wa taifa na baadhi ya vikundi vya wahuni kubadili muelekeo wa hoja
   
Loading...