LIVE: JK kwenye sherehe za wiki ya mazingira

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
811
624
Kwa wale tuliopo viwanja vya mashujaa mjini Moshi,tupeane updates kuhusu sherehe hizi za siku ya mazingira duniani.
 
Tetesi zinaniambia kuwa washindi wa mazingira bora tanzania ni

Mwanza-jiji safi

Moshi-manispaa safi

Meru-halmashauri ya wilaya safi
 
Watoe na records za Jiji chafu, Manispaa Chafu na Halmashauri chafu! then viongozi wasafi na wachafu!
 
yawezekana halmashauri chafu imetoka huku hukukilimanjaro.
 
Mbona zote hizo safi ni CDM? Au kuna nini hapo? Maswali ya kizushi.
 
Back
Top Bottom