Ya Badwel hayana tofauti na ya Jairo, Azan acha kuwahadaa waTZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Badwel hayana tofauti na ya Jairo, Azan acha kuwahadaa waTZ

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malunkwi, Jun 5, 2012.

 1. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  Baada ya Mbunge wa Bahi(CCM) kupandishwa kizimbani kwa kosa la kuomba rushwa ya Tsh8ml kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkuranga, Mjumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa Bw.Iddi Azan alizungumza kwa niaba ya Kamati kuwa swala la rushwa kwa mbunge huyo ambaye pia ni mjumbe wa kamati hiyo ni lake binafsi na si la kamati. Ushahidi wa kimazingira unaonesha kuwa Badwel aliomba fedha hizo za rushwa ili akagawane na wajumbe wenzake wa kamati yake kwa madhumuni ya kupitisha hesabu za halmashauri husika, kumbe picha tunayoipata hapa ni kuwa hesabu hizo huwa hazipitishwi bila wajumbe wa kamati kuhongwa
  Suala hili limekuwa likienda hadi kwenye zoezi la uandaaji wa bajeti za Idara mbalimbali za serikali na hatimaye bajeti nzima ya nchi kwani mwaka jana tulishuhudia aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini Bw. David Jairo akichangisha fedha kutoka ktk idara zilizo chini ya wizara yake ili kufaninisha zoezi la bajeti. Lengo likiwa ni kupata fedha kwa ajili yha kuwahonga wajumbe wa kamati ili wapitishe Bajeti ya wizara husika.
  My take: Azan aache kumbebesha zigo la kamati Badwel kwakuwa utaratibu huo unaonekana kuwepo miaka mingi na ndiyo Culture ya utawala uliopo madarakani na ndiyo maana wabunge wamekuwa wakipigana vikumbo kupata huo ujumbe wa hizo kamati zao huko bungeni.
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  well said. Thank you
   
 3. K

  Konya JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kisa deal limebumbuluka wanajifanya kujisafisha kwa kumtosa jamaa, wangepigiana pasu huo mshiko na kama angekuwa ameomba yeye kama yeye azani angetuambia ushawishi wa bedwel ndani ya kamati,na bedwel ni kama nani eti achukue mshiko then apitishe hizo budget za halmashauri hata kama zina mpungufu bila kukaa kama kamati na kuzipitia kwa pamoja
   
Loading...