Nyie Tanesco, Kigamboni kuna nini?

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
Tanesco vp jaman mbona mnatufanyia madudu sana watu wa kigamboni.umeme kila siku hamna na hatujui sababu ni nini.babra masoud kila tukimsikia ktk vyombo vya habari anadai hakuna mgao wala shida ya umeme coz vyanzo vya umeme ni vya kutosha na umeme wa kumwaga ila kigamboni hakuna umeme sasa yapata mwezi wa pila tuna tapa tapa.acheni ubabaishaji bwana.hii nchi sio yenu ni ya wote kwahiyo fanyeni mambo km ya wote na sio mnavyojiskia nyie.au basi mtueleze tatizo ni nini sio mnatuacha hatujui chochote.
 
Mkuu mimi nimewapigia TANESCO Kigamboni leo kuwauliza kulikoni, wamesema et zoezi la kubadilisha nguzo na nyaya Ilala linaendelea na litachukua muda mrefu, kwa hyo wanakata umeme kwa wote wanaochkulia Kurasini! Cha kushangaza Ilala hakuna adha kama tunayoipata sisi.
Kinachoudhi zaidi hakuna taarifa yoyote wanayotoa na ni muda mrefu sasa umeme mchana kutwa hakuna Kigamboni. Wnye vibiashara vyetu vinavyotegemea umeme vinakufa!
TANESCO tafadhalini, tuelezeni kinachoendelea Kigamboni.
 
Back
Top Bottom