ITV na picha moja ya nyomi za CDM

oyaoya

JF-Expert Member
Mar 4, 2012
277
39
Wakuu,
Nafurahishwa sana na ITV kutuhabarisha mikutano ya M4C ya CDM kusini mwa TZ inavyoendelea lakini dosari ninayoiona ni kutuonesha picha ya aina moja tu ile ya Jangwani inayoonyesha umati mkubwa wa watu wakinyoosha mikono juu kupiga pipooooozzzzz...pawaaaaaa....
Ni mara nyingi nimeliona hili mpaka kwny taarifa ya habari ya saa 12 asbh hii.

Je ni kukosa picha za sehemu husika? Au ni kutaka kutuonyesha CDM wanajaza sana watu kwny mikutano yao yote hata kama sivyo? Sitaki kuamini hili la mwisho.

Nawasilisha.
 
Sina hakika kma topic ya reseach 4m 4 na advanc ulsoma ukazielewa,kuna kitu kinaitwa "SAMPLE",na madai yako co sawa sehemu kibao za kusin huwa wanaonesha,hta pale wakuu wa cdm wakiwa kwenye jukwaa linalotembea,na uwongo na umbea.Nyny ndio wale habar mnangalia baada ya kuhadisiwa.
 
Upo ndotoni amka kwanza harafu ulete umbeya wako, pole kwa kuwa kupe.
 
Wakuu,
Nafurahishwa sana na ITV kutuhabarisha mikutano ya M4C ya CDM kusini mwa TZ inavyoendelea lakini dosari ninayoiona ni kutuonesha picha ya aina moja tu ile ya Jangwani inayoonyesha umati mkubwa wa watu wakinyoosha mikono juu kupiga pipooooozzzzz...pawaaaaaa....
Ni mara nyingi nimeliona hili mpaka kwny taarifa ya habari ya saa 12 asbh hii.

Je ni kukosa picha za sehemu husika? Au ni kutaka kutuonyesha CDM wanajaza sana watu kwny mikutano yao yote hata kama sivyo? Sitaki kuamini hili la mwisho.

Nawasilisha.

Acha uongo na maneno pia huwa wanaongea ya Jangwani? Juzi nimesikia wanazungumzia habari kisha wakampa naye airtime nikamsikiliza, majungu si mtajo jama.
 
Ni kweli usiliamini kabisa hilo la mwisho....mana si kweli kuwa ule mkutano na nyomi ni ya Jangwani..pale baba ni Masasi Ntwara!!wazee wa samaki nchanga nao wameamka!kazi mnayo!!
 
Nadhani kuna tatizo la kupata picha za mikutano ya cdm huko kusini! Sio itv tu bali hata hapa jf.
 
Nadhani kuna tatizo la kupata picha za mikutano ya cdm huko kusini! Sio itv tu bali hata hapa jf.

Tatizo si kama asemavyo kuwa itv wanaweka picha za CHADEMA SQUARE, huyo jamaa aache uwongo kama ana uhakika na asemalo awe picha za jana Mtwara nami nitaweka picha ya video.Zaidi hapo anajidanganya huyu kupe.Hivyo promo ya kuweka picha sizo itv wanaifanya kwa ajili ya nini?
 
Back
Top Bottom