Je waagizaji mafuta ya taa wamegoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je waagizaji mafuta ya taa wamegoma?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbori, Jun 4, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,724
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Habari ndugu zangu? Poleni, pamoja na mambo mengine, kukosa mafuta ya taa.
  Leo katika kujadili juu ya kukosekana mafuta ya taa katika miji mingi hapa nchini, baadhi ya watu wamesema, waagizaji mafuta taa wamegoma kuagiza kwa kuwa hayalipi. Kutokana na kuongezeka kwa kodi, faida haitoshi, hivyo wakaamua kusitisha uagizaji kwa muda. Je huko ulipo unajua sababu gani iliyileta uhaba wa mafuta ya taa?
   
 2. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mi nipo IRINGA town kwa sasa but sijui kwanini nikienda pale mafinga hata ya kuoga unapata,yanapatikana kirahisi kweli.
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,724
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  je yanatoka wapi? Zambia au? Kwani miji mingi ikiwamo DSM haina hiyo nishati, mpaka serikali kupanga kuuza mafuta ya ndege
   
 4. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Matokeo ya viongozi kushindwa kuongoza nchi.
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,061
  Likes Received: 7,280
  Trophy Points: 280
  Mafuta ya taa yalikua dili kipindi kile yana bei ndogo hivyo yakawa yanatumika kuchakachua Petrol.

  Toka walivyoyapandisha bei ili yalingane na Petrol yamekua hayana dili tena kwa waagizaji zaidi ya ku- occupy space za matank yao.
   
 6. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Ni wiki ya 3 sasa huku niliko hakuna mafuta ya taa.gesi nayo haikamatiki halafu inachimbwa hapahapa bongo na tunauziwa kwa dalare. Bongo zaidi ya uijuivyo
  Sent from Siemens C25 using Jamiiforum
   
Loading...