Chama kisicho na matabaka ya udini na ukabila ni ccm tatizo ni ufisadi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama kisicho na matabaka ya udini na ukabila ni ccm tatizo ni ufisadi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chilisosi, Jun 2, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ndugu zanguni
  Nimeangalia kwa ukaribu sana na kugundua kuwa ni chama kimoja tu ambacho kina mchanganyiko wenye uwiano unaokubalika na taiafa zima lakini tatizo ni ufisadi ndio unakibomoa hiki chama. Kikwete anajitahidi sana lakinin watendaji ndio wanamuangusha kama akina chami, ekelege , maige nk
  Hili ni tatizo kubwa ambalo wapinzani ndio wanatumia udhaifu huu kupata washabiki. mie binafsi nakipenda sana chadema lakini nimegundua kuna matatizo yanayojitokeza ya hapa na pale ambayo ningewashauri wayafanyie kazi haraka sana.
  Kuna tatizo linalosemwa la ukabila amabalo sio la kupuuzia kwa sababu lisemwalo lipo
  Wengine wamekuwa wakikiita chama cha wakristo hapa ningewaomba wajitafutie wanachama wengi kutoka dini zote na kugawa madaraka yenye uwiano sawa kwa watu kutoka makabila yote na dini zote ili iwe kama CCM
  MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI. CCM HAKUNA UKABILA WALA UDINI.
  Na inabidi vyama vingine viige huu mfano.
  Hebu anagalia Kikwete muisilam na baraza lake la mawaziri.
  Unazani rais angekuwa sefu sharifu mandevu baraza lingekaaje?
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Gamba at work
   
 3. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Nini maana ya udini?
   
 4. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tupe hadidu za rejea ulizozitumia katika kuliangalia suala hilo.
   
 5. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  MBONA KANISA LIKICHOMWA HUSEMI?au umefurahiya?najua unachojaribu kukisema
   
 6. S

  Sgaga Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una akili ndogo sana wewe kama kuku,wewe unafikiri huyo ****** madudu yake si huyajui kwa sababu ana dola,kina maige na magamba wenzake ni rahisi kujulikana kwa upuuzi wao.si alisema ccm watajivua gamba,kama ni kiongozi mzuri toka amesema hivyo ni muda gani sasa,kuhusu kutugawa kwa falsafa zenu za dini na ukabila hapa mmechelewa kwa sababu watanzania wa sasa si wale wa miaka ya 80,na mwanzoni mwa 90,watu wamebadilika sana sasa hivi.kachukue mshahara wako kwa nepi kisha mjipange upya
   
 7. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kaka mie chadema damu tena kuliko wewe lakini kuna vitu lazima tujifunze, sio kila kilichoko CCM ni kibaya, kama ni hivyo basi hata akina slaa nao ni wabaya kwa sababu wametoka ccm, Mie sipendi kuona kuna maneno ya kijinga kamma ya shibuda yanayohusu ukabila na pia maneno ya wengine ya kudai chadema ni chama cha kanisa. mie ni mkatoliki na nina hasira kubwa kwa yaliyotokea zanzibar, ukifuata topics zangu utaona, mie binafsi sipendi huu muungano na watu ambao hawana akili timamu kila kukicha kelele. lakini ili chadema kiwe chama bora inabidi watumie mbinu za nyerere za kutoupa ukabila na udini nafasi ya kuzungumziwa ndani ya chama na hii ndio silaha kubwa itakayoifanya chadema ichukue nchi 2015
   
 8. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kaka mie chadema damu tena kuliko wewe lakini kuna vitu lazima tujifunze, sio kila kilichoko CCM ni kibaya, kama ni hivyo basi hata akina slaa nao ni wabaya kwa sababu wametoka ccm, Mie sipendi kuona kuna maneno ya kijinga kamma ya shibuda yanayohusu ukabila na pia maneno ya wengine ya kudai chadema ni chama cha kanisa. mie ni mkatoliki na nina hasira kubwa kwa yaliyotokea zanzibar, ukifuata topics zangu utaona, mie binafsi sipendi huu muungano na watu ambao hawana akili timamu kila kukicha kelele. lakini ili chadema kiwe chama bora inabidi watumie mbinu za nyerere za kutoupa ukabila na udini nafasi ya kuzungumziwa ndani ya chama na hii ndio silaha kubwa itakayoifanya chadema ichukue nchi 2015
   
 9. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mimi mkatoliki na nina hasira kuliko wewe, just read my topics utajua ni jinsi gani nimewachukia hawa wala urojo
   
 10. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  Mtoa Mada ccm haifurahii mafanikio ya cdm! Tumia akili yako kupima na kuona huo ukabila na udini unaoeleza na ccm,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  CHADEMA= udini+ukabila+ukanda+ubaguzi+utapeli+uongo+usanii+ufuska+usaliti wa nchi.
   
 12. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kakaange chips ,acha kupost upepo huku.
   
 13. H

  Hemed Maronda Senior Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni sahihi Mkuu unayoyasema watu wengi humu hawapendi kuelewza ukweli! Ingawa nami sijathibitisha Udini wa Chadema na Ukabila ila mengi sana yamesemwa kuhusu hayo mambo mawili hivi kila siku yaendelee kulalamikiwa hayo hayo? Tupende tusipende taswira ya Chadema inaharibika kutokana na matatizo hayo madogo madogo yanayojitokeza na mtu akiandika tu anashambuliwa humu utafikiri mwizi ila ukweli unauma!
   
 14. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Kabla mtu hujaanza kusoma post, heading ime ji contradict.

  Huwezi kuwa na ufisadi bila matabaka. Ni nature ya ufisadi kujenga matabaka. Nani atapewa dili kubwa na nani ataachwa.
  Chenge anapokaa kupanga kwiba hela za umma kuzipeleka Jersey Island kifisadi ni lazina akae na tabaka la wabenzi wenzake. Hawezi kuanika habari hizi kwenye gazeti la Uhuru kila mwanachama aone.

  Ufisadi na matabaka ni pande mbili za sarafu moja.

  Divide and rule style.

  Jipange upya.
   
 15. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkatoliki haruhusiwi kuwa na Chuki 'Mpende Jirani yako kama Unavyoipenda Nafsi yako'
   
 16. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  ni chama pekee duniani ambacho hakiwezi kuchukua maamuzi magumu ----
  a) kuwafukuza wanachana mafisadi (wanaoiba mali za umma waziwazi)
  b) chama kuchukua hatamu --- ( kuisimamia serikali yake)
  c) sera za kulindana, kusaidiana , (huyu mtoto wa mwasisi wa ccm basi tumpe cheo...... mfano ninao.....
  d) kichaka cha wafanyabiashara --- ukitaka biashara zako ziwe safi jiunge na CCM... mifano niyano mingi tu..

  HAYA MAMBO WANANCHI WENYE NCHI YAO WAMEYASHITUKIA..............KAZI KWENU 2015
   
 17. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  gwanda on u
   
 18. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  tatizo kubwa nliloliona humu JF kwa wana CDM ni kwamba hawakubali kuaccept challanges wanadhani km ni udhaifu kumbe ni njia ya kujiimarisha.ukiwaambia kitu wanakuja juu woote tena wengine bila hata hoja.CDM inataka kumanage tanzania ila kwa what i believe good manager ni yule anayeaccept challanges km steps to success.ushauri wa ndugu yetu ni wakuufanyia kazi.hivi mnajua CUF imepoteza umaarufu kwa kashfa km hizi za udini?mnajua CDM haina mashabiki ukanda wa kusini wanaamini ni chama cha watu wa kaskazni.take this men...
   
 19. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280

  UNASEMAJE? Hivi wewe unaakili kweli? umefanya utafiti wapi, mwezini? ukiwa unaishi ulaya? chini au juu ya mbingi ya dunia? mwee!!!!!! machikini, wewe angalia kitu kimoja tuuu usiende mbali, kuna udini hata kabla hakijaitwa ccm, hayo yote hayana maana, chama cha kimatabaka/ kinatetea tabaka tajiri, wahindi, matajiri, viongozi...

  nenda shule huna kitu kichwani dogo
   
 20. a

  adolay JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280


  Ilike this. Good analysis ELNINO is obvious every one can see it.
   
Loading...