Voda ni wababaishaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Voda ni wababaishaji?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MZAWATA, Jun 4, 2012.

 1. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  katika siku za karibuni takriban siku ya nne sasa mtandao wa voda umekuwa ni KERO KUPITA KIASI, network inasumbua na huduma nying hazipatikani kabisa na HAKUNA TAARIFA yeyote ile waliotoa kwa wateja wake. Naomba kuwauliza hawa Voda HUU NDO MTANDAO WENYE HUDUMA MNAZOJISIFIA KILA SIKU? acheni ubabaishaji na kama kuna tatizo ni BORA MKATOA TAARIFA MAPEMA KWA WATEJA WENU.
   
 2. Mugwet

  Mugwet Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 25
  Vodacom....kazi ni kwako
   
 3. Walikughu

  Walikughu Senior Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hata mimi hili nimeliona nimenunua umeme wa Luku kwa njia ya M-Pesa Mpaka sasa hakuna jawabu lolote ingawa pesa yangu ilisha pokelewa tanesco ukiwauliza wanasema tunashughulikia leo siku ya tano
   
Loading...