Tanzania tells Mugabe to behave like an elder statesman! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tells Mugabe to behave like an elder statesman!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Askari Kanzu, Jun 4, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Tanzania tells Mugabe to behave like an elder statesman
  by Staff reporter | 2012 June 04 | Bulawayo News

  Sources who attended the Sadc summit disclosed the meeting was full of the proverbial fireworks.

  They said Tanzanian Prime Minister, Mizengo Pinda, told President Mugabe to behave like an elder statesman and stop calling for elections this year, warning this would only take Zimbabwe back to the "dark days of 2008".

  Pinda did not understand Mugabe's impatience on holding elections and told him to do it "for the people", not just himself. Pinda was however continuously interjected by Zambian president, Michael Sata, the only leader to support an election this year.

  "Sata kept saying 'Pamberi ne Zanu-PF', interjecting anyone who dared criticise Mugabe," the source said, adding that at times, the Zanu-PF contingent of Emmerson Mnangagwa, Patrick Chinamasa and Nicholas Goche, seemed embarrassed by the chants.

  Sata said Mugabe had no business discussing issues with "these boys who were not there in 1963 (at the formation of Zanu), like PM Morgan Tsvangirai, who was on holiday, while the 2 presidents fought colonial regimes in their respective countries."

  Bulawayo 24 NEWS
   
 2. A

  Apollnary JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Big up Pinda....ni Nchi chache kwa Africa zinazoweza kuwachana live watu kama kina Mugabe

  Watu hapa ndio wanatakiwa wajionee wenyewe kwamba tanzania na Viongozi wake ni Watu ambao hawa be influenced sana na "emotions" ama kuogopa kusema kile wanachokiamini kama wengi tunavyodhania.

  Kuweza kumuambia namna hiyo Mugabe "straight" ni Ujasiri mkubwa wa Kiongozi.Ni sifa kwamba Kiongozi wa namna hiyo anatoka Tanzania.

  Watu wengi Tanzania hawaelewi ni kwanini yule Waziri Mkuu wa Israel kipindi kaongea maneno ya Kejeli kuhusu tanzania(kuifananisha na Nchi isiyo exist duniani)...Ukiwa mfuatiliaji mzuri wa Politics za Nje,tanzania imekuwa ni mojawapo ya Nchi chache za Africa toka enzi za mwalimu kuwapinga Israel waziwazi kuhusu mambo wanayowafanyia Wapalestina...na kitu hiki kinawaudhi sana Waisrael....hapohapo wanakuwa wanajiuliza "Hivi ki Nchi hiki tanzania wana jeuri gani kusema mambo kama haya waziwazi wakati hawatusaidii chochote?"(Ingawa inapokuja kwenye haki za UN,unakuta hata Nchi kama ni ndogo,bado mnakuwa mnategemeana katika kuwasapoti hata misimamo)

  Pia watu hawajui kwa nini David Cameron alilalama sana kuhusu Nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola kwamba zisiwanyime haki mashoga,ama sivyo UK itasistisha/review policy za misaada----miezi 6 kabla,Tanzania ilikuwa ishafanya Jeuri ya kumkataa Mwakilishi(balozi) kutoka UK aliyetakiwa aje huku,lakini akiwa na mwenza "mwanaume".....Yote haya watanzania huwa hatupendi kujisifia...sijui kama huwa hatuyajui kweli ama ni kwamba hatutaki kujisifia.

  Huyo Michael Sata kuna watu hapa Nchini kwetu pia wanamwona ni "mzuri" sana...Lakini inaonyesha kwamba Wazambia wenyewe wanaanza kujistukia taratibu kwamba walilamba dume wakati wa final,timu ya pili tayari ina STOP na Last kadi......Just imagine kukubali kwamba wa fast track Uchaguzi..(mpaka waliotoka kwenye chama cha Mugabe tena wazimbabwe wanaona "huyu naye vipi?")
   
 3. M

  Mchungaji Ritch Senior Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ***** mtupu kwakuwa Pinda naye anahusika katika kuwanyang'nya wazawa ardhi na kuwapa wageni unafikiri na Mugabe ndo mshono huo wa kipumbavu? Viva Mugabe uchaguzi ni mwaka huu na utashinda hata usiposhinda usikubali kuachia vibaraka nchi.
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hamchokonoi Saa nyingine Ukweli Unauma, Nadhani kasema Ukweli lakini Wengi hatataka kuyasikia hayo Sababu ni FREEDOM FIGHTER lakini bila JK NYERERE Mugabe asinge kuwa Waziri Mkuu wa Zimbabwe huru;

  Someni Historia ya Zimbabwe...
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Lost comrade...akina Pinda si ndio walikuwa wanamwita comrade?si ndio walisaidia mapambano, si ndio kipindi tanzania ikishikilia nafai UN na AU walisimama upande wake?Au kwa vile Gaddafi kafa(bwana mkubwa wa wabantu)
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kwa akili ya mugabe sijui kama atamsikiliza mtu-
  BTW mbona pinda anaacha kushuhulikia mambo ya maswala ya humu nchini then anaenda kwenye international arena-kama nyumban panamshinda-huko nje ataweza?
   
 7. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu pinda analijua domo la Mugabe au analisikia!? asubiri kupata matusi ambayo hata kwenye kamusi hayapo na matusi mengine ambayo hayajaanza kutumika bado!
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  naona Mugabe kwa kiburi chake Mungu atamchukua mapema
  kama alivo mchukua Bingwa wa Mutharika
  wazimbabwe wanateseka kwa sababu yake, ana kansa lakini hajutii bado.
  soon mtasikia kafa tena ghafla.Mungu anajibu hapa hapa duniani.
   
 9. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Nani anawambia wazimbabwe wanateseka?!! nyie mna raha hapa Tanzania?!! acheni unafiki yaani mtu asipokubaliana na Mambwa ya Ulaya huyo basi ni mbaya kabisa hivi nyie Miafrika mbona akili mnakanyagia chini!!! mgabe hawezi kulingana na Pinda ambaye hata madaraka ya UPM yanamsumbua kuna shida kibao kashindwa kusimamia hapa TZ
   
 10. S

  Starn JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kumbe ndio maana MKUBWA kamtuma PM
   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  waafrika tunatabia ya kukumbatiana sana...mugabe akakae care homes apumzike..aache zimbabwe ianze upya iwe a rich country it once was
   
 12. s

  sugi JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Ya kwe2 yanatushinda,maskini wa kutupwa ss,utamshauri nn mugabe ewe mtanzania ombaomba?
   
 13. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeelewa Rai ya PInda lakini au unapongeza tu??
   
Loading...