Tanzania yetu nchi tulimozaliwa

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
522
240
Wakati mmoja ninafurahi na wakati fulani nachukia sana. Katika nchi hii yenye neema na baraka za baba wa mbingi unapoona watoto yatima wanateseka na kutumika kama vitega uchumi inasikitisha sana na tena sana na wala si kidogo
 
hapa sijakupata,ww na nani?wengine tumezalia wakati wa tanganyika,wengine wakati wa mkolon,ww umezaliwa tanzania ipi?tanzania ya bara au tanzania visiwan?
 
Wakati mmoja ninafurahi na wakati fulani nachukia sana. Katika nchi hii yenye neema na baraka za baba wa mbingi unapoona watoto yatima wanateseka na kutumika kama vitega uchumi inasikitisha sana na tena sana na wala si kidogo

Kama hujui hiyo ni laana ya kutokuwa mzalendo kwa Baba yako Tanganyika!
Na bado kama hutatubu!
 
Back
Top Bottom