Wanasema Mongo Hotel ya Kahama ni ya Maige, ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasema Mongo Hotel ya Kahama ni ya Maige, ni kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hute, Jun 4, 2012.

 1. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  nilipanda gari moja toka dsm kwenda khm, nilikaa na jamaa mmoja ambaye ni diwani wa chadema, mle ndani ya basi kulikuwa na majibizano mengi ya kisiasa na kuwa mwaka 2015 cdm lazima iende magogoni. cha ajabu, waliibua issue moja juu ya umiliki wa hotel ya mongo, iliyopo kahama mjini, wanasema jamaa aliinunue ile hotel. pamoja na kwamba inaweza kuwa na jina la mtu mwingine, ile hotel watu kule kahama hata ukiuliza raia wa kawaida atakwambia ni ya maige...nilijiuliza kapata wapi pesa kununua au kujenga nyumba ya kuishi ya bilioni, alafu akanunua na hotel gorofa nne kama ile....hapo hapo wanasema alibadilisha afisa misitu kwenye gave reserve gani sijui huko shinyanga akaweka wake wakawa wanapitisha mbao kama njugu na yeye kuzifanyia biashara...kuna tuhuma nyingi sana kule jamani kwa wale waliofika, nendeni leo kahama mkajionee au kaulizeni mtu yeyote mtaani hata mwendesha baiskel tu. halafu hayuko fresh kabisa na lembeli, nasikia hawaivi kwasababu lembeli mbunge alimanika mshikaji....
   
 2. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Ushahidi wa barabarani hauaminiki.

  Weka facts hapa, siyo kumchafua mtu bila sababu.
   
 3. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  ukwa njiani, kwenye basi ukasikia mke wako analiwa na jirani yako, utasema huamini jambo la barabarani au utachukua hatua kwenda kuchunguza? ni nafasi yako wewe kuchunguza sasa. nafikiri kama si kweli, basi jina lake litasafika vizuri kule kahama, na kama ni kweli basi tutarecover mali yetu watz.
   
 4. Mwamikili

  Mwamikili JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 416
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kwao umefika? anahotel kijijini kwao SEGESE kwa wanaopita kwenda geita na kweda bulyanhulu wanashuhudia ufisadi wa maige, kijana mdogo anapenda masifa mjinga tu yule, mtu alikuwa mwalimu wa ifm hana kitu leo hii ni bilionea, naomba takukuru wamshughulikie kabisa
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ni kweli kwamba mongo hotel ile ya kahama ni ya kwake pia? au wanamsingizia, si wafanye uchunguzi kusudi kama uyu jamaa akionekana msafi ahamie chadema? na kama mchafu basi aadibishwe.
   
 6. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,865
  Likes Received: 2,807
  Trophy Points: 280
  Hapana hii sasa too much! Watu wakiona ghorofa tu ni ya maige! Tutakuwa hatumtendei haki sasa! Hiyo hotel ni ya kijana mmoja mfanyabiashara ya madini pia ni mfugaji wa ng'ombe kule Kasulu. Namfahamu vizuri sana mpaka kule anakofugia hao mifugo Anaitwa Musa Mongo. Ila wakuu ushahidi sitaki naishia hapo. Maige sasa tumwache aendelee kuomboleza kwa kuukosa u-waziri!
   
 7. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Kuna Mongo kama wanne Kahama na wote wana maduka ya hardware,mmoja alikuwa chief security mgodini Kahama upande wa processing akachapa dhahabu nyingi na kufungua hardware hapo Kahama,Mwingine ana hardware ya siku nyingi na ana guest ndogondogo kama mbili hivi,huyu ndio alichukua mkopo na Kujenga ile Mongo Hotel ya Isaka road,kuna Mongo hotel nyingine jirani na Ndasa HOTEL nayo ni ghorofa nne hiyo nayo ni ya Mongo mdogo.Kama Maige alinunua labda ni wiki hii na sijui ni Mongo hotel ipi wanayoisema maana zipo mbili na zote zimejengwa karibuni na zote no ghorofa nne.
   
 8. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Unaona jinsi jamaa walivyo wastaarabu, wanajenga kwao! sio wale wanaozamia na kujenga sehemu za wenzao huko kwa wenzao nako hawatulii, mara sauti za adhana zinatusumbua, mara Dr.Dau kavaa kanzu na kofia, n.k!
   
 9. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135

  Yes! Wewe ndo umezungumza sahihi kuhusu Mongo, huyo jamaa alisema wa Kasulu sijui kamjulia wapi.. Na hapa nilipo nimetoka kumpigia Mongo mdogo mwenye hardware maeneo ya Petrol station ya Jaha, ambaye pia ana tenda ya kusupply mizigo Buzwagi, ameshangaa sana hii habari.. Tuache kumchafua mtu jamani.

  Let's put down the facts not fictions!
   
 10. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280

  At least wapo watu wawili watatu wa kuweka rekodi sawa!
  Kutokuweka facts sawa kunaibua tetesi nyingi na kuchafua hadhi ya JF.
  Asante Omega kwa ufafanuzi, hope Maige atapumua kidogo na atawekwa kando na umiliki wa Mongo Hotel. Myonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni
   
 11. S

  Senator p JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona Mongo ya kawaida 2,tena kwa cku 30,000Tsh kwa 35,000Tsh,Nguru doto Arusha mnamjua mmliki?tz ukifatilia kla k2 utaishia kuwa maskn,cha maana komaa kivyako utoke kwa kuleta mabadilko ya ukwl.
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,103
  Likes Received: 6,567
  Trophy Points: 280
  sioni hata cha kutetea hapa
  wameifisi nchi imebaki inatepete
  kama tambara, lol.
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 14. L

  LISAH Senior Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Si kweli
   
 15. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Si umuulize anayesema au?
   
 16. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  wewe kuku wa kienyeji anayeumwa kideri...uelewa wako mdogo, nimwulize magwanda anayetoa tetesi, lakini lisemwalo lipo kama halipo linakuja...mongo hotel wanasema ilikuwa ya musa mongo, mfanyabiashara na mwizi/jambazi mkubwa wa madini na vitu vingine kule kahama...ila sasa wanasema jamaa kaiununua....ni muhimu kuchunguza, serikali ijue kama ni kweli haya, kama si kweli basi atadhihirika kama ni msafi....
   
 17. Entuntumuki

  Entuntumuki Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red siyo kweli mkuu! Wapo Mongo wawili wanaofahamika zaidi pale Kahama; Mongo bonge mwenye duka la hardware opp. soko la wilaya Kahama, mwenye Hoteli Isaka Road, opp. Samanga Bar na huyo mwingine (Mongo gwa Ndama) mwenye Hotel near Ndasa, Tabora Road. Mongo gwa Ndama alikuwa na duka la bidhaa za jumla (wholesale) na alikuwa akifanya biashara ya dhahabu kwa muda mrefu na alishawahi kukamatwa kwa tuhuma za wizi wa dhahabu Geita ijapokuwa baadaye ilibainika kuwa hakuhusika. I guess umechanganya kidogo, otherwise wote wanamiliki Hotel kubwa kwa hadhi ya Kahama. Wote ni Wanyantuzu wa Bariadi japo hawana undugu wowote.
   
 18. Entuntumuki

  Entuntumuki Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Its necessary to guard the mouth than the chest! Can you believe the source???

   
 19. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  habari za tajiri mwulize maskini
   
Loading...