Baada ya Bw. Ekelege kuondolewa Kunadhamira ya kweli kuboresha utendaji wa TBS

Njoka Ereguu

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
821
335
Hivi karibuni Bw. Ekelege aliyekuwa Mkurugenzi wa TBS aliyechukua nafasi yake ni Bi. Kenzia Mbwambo, mkurugenzi wa Udhibiti ambaye katika picha hii alikuwa na Bw. EKELEGE Japan na Beijing, waliporudi wakaandaa taarifa ya kupinga ile ya Kamati ya Zitto, je huyu mama atakuwa na dhamira ya kweli kuimarisha utendaji wa TBS?


%E7%94%BB%E5%83%8F+254.jpg
 
kumuondoa ekelege pekee hakutoshi, pesa zetu vipi?

Na huyo mama ndo wale wale

Pesa zote za ukaguzi wa magari yaliyotumika toka nje ya nchi zilipokelewa na zipo salama kwenye account za shirika la TBS, taarifa kamili za ukaguzi toka katika kila nchi husika imekamilika tusubiri, labda itasomwa kwenye kikao cha badgeti.
 
Pesa zote za ukaguzi wa magari yaliyotumika toka nje ya nchi zilipokelewa na zipo salama kwenye account za shirika la TBS, taarifa kamili za ukaguzi toka katika kila nchi husika imekamilika tusubiri, labda itasomwa kwenye kikao cha badgeti.

Mkuu wewe ndio Ekelege nini!!! Kama pesa zote zilikuwepo mbona hamkuwaonyesha wabunge mpaka jamaa ameondolewa ndio mnasema zipo..
 
CHANZO CHA UOZO WOTE NI BABA MWENYE NYUMBA;
Nimesema hivyo nikiwa na maada na huyo baba ake LESI ONE ambaye ndio chanzo cha uozo wa selikali ya Tanzania naumia sana na hilo.
Ni lini atakua na uwezo wa kuchukua maamuz kwa madaraka aliyonayo.
Kwa muda mrefu tunapata majina ya wezi wa mali ya umma ila anaacha anabaki kusema ni upepo wa kisiasa na ye ni baba wa selikali ni rahisi kuchukua hatua kwa madaraka aliyonayo,but yeye anatumia sana ya kuwachagua wakuu wa wilaya,mkoa na mabalozi kuwapa ulaji tu amna kingine naulaji wenyewe kwa kuiba mali za umma,baba one mwenyewe hafanyi kazi ya kuwapima na kuwaengua pumba mpaka wamuengulie na apate shinikizo kutoka upinzani utapewa shinikizo

TUTAENDA HIVI MPAKA LINI?
Ila ogopa historia unayoijenga kwa future generation na hao wanao ambao ni mabilionea nchi hii .ila mnakera??
 
Back
Top Bottom