Sauti za mabomu za tawala leo kigogo

mapanga3

JF-Expert Member
May 1, 2012
665
633
Sauti ya milio ya mabomu ya machozi ndiyo zinazosikika leo eneo lote la kigogo. Mabomu hayo yanafyatuli na polisi wa kuzuia ghasia yaana ffu yanalenga kuwatawanya watoto wa shule ya msingi kigogo( mkwawa ) ambao walifunga barabara ya kigogo /ubungo kufuatia ajari iliyotokea leo asubuhi ambayo ilimuhusisha mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo aliyogongwa na gari na kuvunjika miguu. watoto hao baada ya mwenzao kugongwa waliamua kuzuia magari lkupita wakidai barabara iwekwe matuta. Hakuna gari liloruhusiwa kupita na lililopita lilipigwa kwa mawe na baadhi yao kuvunjwa vioo hivyo ikalazimu ffu kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya watoto hao. Source ni mm mwenyewe na naripoti kutoka kwenye eneo latukio
 
Mabomu yamekidhiri,mpaka kwa watoto wa primary. Watoto wakikuwa siwatakuwa hawaogopi tena hayo machozi.:thumbdown:
 
Sauti ya milio ya mabomu ya machozi ndiyo zinazosikika leo eneo lote la kigogo. Mabomu hayo yanafyatuli na polisi wa kuzuia ghasia yaana ffu yanalenga kuwatawanya watoto wa shule ya msingi kigogo( mkwawa ) ambao walifunga barabara ya kigogo /ubungo kufuatia ajari iliyotokea leo asubuhi ambayo ilimuhusisha mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo aliyogongwa na gari na kuvunjika miguu. watoto hao baada ya mwenzao kugongwa waliamua kuzuia magari lkupita wakidai barabara iwekwe matuta. Hakuna gari liloruhusiwa kupita na lililopita lilipigwa kwa mawe na baadhi yao kuvunjwa vioo hivyo ikalazimu ffu kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya watoto hao. Source ni mm mwenyewe na naripoti kutoka kwenye eneo latukio
Japo siijui syllabus ya chuo cha polisi, lakini kama hata kuwadhibiti watoto wa shule ya msingi wanatumia mabomu ya machozi ni wazi huko chuoni kwao kuna matatizo makubwa sana kuhusu mtaala wao
 
wakuu, em wekeni suluhisho la dharura katika hali hiyo, kituo cha polisi kina askari wanne, hao watoto wapo zaid ya 300, barabara zimefungwa na baadhi ya watu waliovunjiwa vioo vya magari yao wana hasira na hao watoto!
Wafanyeje hao askari ktk hali hiyo tete?
 
hivi jamani tunaenda wapi?tunajenga taifa gani kwa watoto wetu,oneni aibu nyie wahusika,yaani kila kitu mpaka muone matatizo ndo mfanye kazi,sehemu hiyo wakati barabara inajengwa kulikuwa na umuhimu wa kuweka matuta maana watoto wa shile hupita sehemu hiyo.na hilo nalo mpaka watu waumie ndio mjue,kweli nchi hii inasikitisha.sijui haya yataisha lini,inasikitisha.
 
waweke matuta
 
Mamajack unaongea kwa jazba tu lkn taratibu gani zimefuatwa mpka wazuie magari? Kuna viongozi na ngazi mbalimbali za kuwasilisha malalamiko peacefully, sivyo walivyofanya!
Kwa lengo la kurudisha ushwari haraka, naunga mkono askari wetu wachache kudhibiti hao siblings na watu wenye hasira ya folen na waliovunjiwa vioo vya magari yao!
Jamani hayo mabom yamepozwa mno na lengo ni kuwatisha, watawanyike! hakuna atakayedhurika kwayo!
 
hivi jamani tunaenda wapi?tunajenga taifa gani kwa watoto wetu,oneni aibu nyie wahusika,yaani kila kitu mpaka muone matatizo ndo mfanye kazi,sehemu hiyo wakati barabara inajengwa kulikuwa na umuhimu wa kuweka matuta maana watoto wa shile hupita sehemu hiyo.na hilo nalo mpaka watu waumie ndio mjue,kweli nchi hii inasikitisha.sijui haya yataisha lini,inasikitisha.

mkandaras hajakabidh barabara-maneno yao ya kila siku haya wakat NYANI WA MIKUM WANAWAWEKEA MATUTA
 
Mamajack unaongea kwa jazba tu lkn taratibu gani zimefuatwa mpka wazuie magari? Kuna viongozi na ngazi mbalimbali za kuwasilisha malalamiko peacefully, sivyo walivyofanya!
Kwa lengo la kurudisha ushwari haraka, naunga mkono askari wetu wachache kudhibiti hao siblings na watu wenye hasira ya folen na waliovunjiwa vioo vya magari yao!
Jamani hayo mabom yamepozwa mno na lengo ni kuwatisha, watawanyike! hakuna atakayedhurika kwayo![/QUOTE) sio jaziba ila niuchungu nilionao,kweli kujenga matuta mpaka taarifa zitolewe,hya hapo baeabara haijakamilika,how about banana,na maeneo mengine mengi ambayo kesi kama hizi zimetokea.kweli hata kama sio lazima kuwajibika serikalini,basi tufanya tu kwa sababu ya utu ambao naamini mwnyezi mungu alimjalia kila mwanadamu.
 
kazi sana hii nchi..yaani mabomu mpaka school kids??
ndo tabu ya jeshi la sasa limesheheni vijana waliokosa ajira mitaani na kukimbilia ili mradi wapate mkate wa kila siku
kwa staili hizi taifa lafwa
 
wakuu, em wekeni suluhisho la dharura katika hali hiyo, kituo cha polisi kina askari wanne, hao watoto wapo zaid ya 300, barabara zimefungwa na baadhi ya watu waliovunjiwa vioo vya magari yao wana hasira na hao watoto!
Wafanyeje hao askari ktk hali hiyo tete?

Sasa kuwapiga watoto na mabomu ndio suluhisho la dharura!!!, kwanini kiongozi yoyote asingeenda kuongea nao na wakapata suluhisho.
 
FFU wachovu sasa darasa la 1,2,3,4,5,6 na 7 uwapige mabomu ya nini?
 
kwa mchana huu ni shwari, watoto wote baada ya mabomu ya chozi wamekula kona na ku waacha ffu wakilandalanda mtaani. Aidha kinachoendelea hapa hakuna zaidi ya kosta zenyewe mamluki wa ccm kuelekea jangwani.
 
Back
Top Bottom