Fitina ya mwondoa Mzee Chizi ATCL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fitina ya mwondoa Mzee Chizi ATCL

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jun 7, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Haya wakuu

  ktk magazeti ya leo,inaonekana kuenguliwa kwa mzee Chizi ni fitina ya baadhi ya wakuu baada ya Mh huyo wa ATCL kuminya mianya yote ya kula pesa iliyokuwa ikifanywa na baadhi ya wakuu hapa Tanzania.
  baada ya Chizi kupewa Nafasi ya kukaimu Ukurugenzi ndani ya ATCL alizuia utengenezaji wa ndege nje ya nchi na kuanza kutumia wataalamu wa ndani ya tanzania jambo ambalo baadhi ya wakuu hawakupendezwa nalo kwani limesababisha kuwanyima ulaji wao,na pia Chizi alijitahidi kubadirisha bei za ndege ili ziwe sawa na bei za ndege nyingine na hii ilivutia wasafiri wengi kuweza kuitumia ATCL lakini wakuu wengi waliudhika kwani maslahi yao ktk ndege nyingine yalianza kupungua

  na ndio maana hata wakati ile ndege mpya ilipokuwa ikipaa angani viongozi kutoka wizarani hawakuhudhuria ktk hafla hiyo na hii ni kuonyesha kuwa viongozi hao hawakuwa tayari kumuunga mkono mkurugenzi Chizi labda kwa yeye kuleta ndege mpya na hili limesababisha kupunguza maslahi yao binafsi

  WAZIRI MWAKYEMBE labda atoe hizo taratibu ama kanuni zilizokiukwa ili watanzania wajue

  chanzo clouds fm,kipindi cha asubuhi 7/6/2012 na akina PJ,walikuwa wakisoma habari ktk gazeti la majira
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,290
  Likes Received: 19,446
  Trophy Points: 280
  Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
  hii sio maige style kweli?
   
 3. luck

  luck JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 769
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  Duh. yangu macho
   
 4. A

  AZIMIO Senior Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwenye vitengo hivi kuna mazingaombwee?
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mimi nilisikia eti waziri aliamua kumpa shavu ndugu yake, sijui ukweli wa hili. Ila kumuondoa kaimu haiingii akilini, mi nilidhani angetangaza kumteua mkurugenzi kamili na si kutengua uteuzi wa kaimu. Inaniongezea mashaka. Ndaga gwe kyala.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ni zama za KAIMULISM
   
 7. m

  mwigo Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa kuwa katibu mkuu anahusika moja kwa moja na hujuma hizi za kutaka ndege hii isiruke ili yeye aendelee kunufaika na makampuni mengine ya anga ambayo hupokea vijisent kutoka kwao.chizi AMEFANYA KAZI KUBWA SANA. JANA NILITOA MADA HII KUONESHA NAMNA ANAVOHUSIKA NA HUJUMA HII HUYO KATIBUI MKUU.
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ukweli uko wazi
  precision air ndio wauwaji wakubwa wa air tanzania na viongozi wengi
  wana hisa humo akiwemo mramba na wengineo wanajijua.
  kwa mtu aliesikiliza mahjiano kati ya ITV na Chizi atagundua huyu mtu ni wa busara
  na amejitahidi kadri awezavyo kuiokoa Tanzania. Katibu mkuu anapaswa kuondolewa mara moja
  na pia Mwakyembe amekurupuka kumfukuza kazi Chizi kwani waziri aliemteuwa kushika wadhifa huo
  alikuwa na mamlaka sawa na mwakyembe aliotumia kumteua kaptain.
  watanzania ni wapenda kula badala ya kupenda uzalendo. hamsahngai wanatembelea mavx ya garama
  huku wakiwaacha walipa kodi na wananchi maskini bila huduma za msingi
  THIS COUNTRY NI ZAIDI UIJUAVO.
   
 9. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  kwani ile ni ndege ya ATCL!??

  Mbona tunakuwa wagumu kuelewa mambo madogo hivi, yaani viongozi wa serikali/wizara wakusanyike kukata keki na kupokea ndege ya kukodisha!? Ni bora mara 100 kama wangenunua ndege ndogo (kama ile Nape aliyokodisha kwenda Bukoba) ya kwetu kuliko Boing 777-400 ya kukodisha (ya mafisadi).
   
 10. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Huwezi kuzomea ukiwa usingizini.
   
 11. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kaka hapo ndipo majibu ya AZIMIO LA ARUSHA Linapojibu maswali yetu

  kama viongozi wasingeruhusiwa kuwa na hisa ama kufanya biashara mambo haya ya kiongozi kutumia fitina kumwondoa mkurugenzi yasingekuwepo,hapa kuna maslahi binafsi,watu wanaliuwa shirika letu ili wapate maslahi furani ktk kampeni walizowekeza

  lakini nadhani katibu mkuu ni tatizo,je kamati za bunge mpo waaaaapi?
   
 12. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ukweli utajulikana soon na ikiwezekana mtashangaa mwakyembe anaachia Ngazi
  kama tuhuma hizi zikithibitisha=wa.
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Uzuri wa hapa jf unapata kilakitu@low cost,,,,,,
   
 14. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  lokisa

  umeyasikia hayoo?

  yaani kwa jinsi alivyo ongea mwakyembe na wafanya kazi wake leo ATCL unaweza chukua panga na kumfuata chizi,maana kuna madudu ya kutisha,kumbe ndege tuliyokodi tumeanza kulipa wakati ikia ktk hanga na mpaka sasa kuna deni la kufa mtu tunadaiwa
   
 15. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ... WE'RE A CURSED PEOPLE! Period. (Wageni karibuni mchukue nchi
   
 16. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 773
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  ina maana hamna imani na mwakyembe wana if au majungu tu mnayo.
   
 17. A

  Adm Senior Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ni rahisi kuanza kuwa na fikra za ukabila kwa kile alichokifanya mwakyembe. Mi nadhani kabla hatujahukumu kwa hilo hebu tujiulize maswali haya kwanza
  1.kwenye orodha ya wale waliondolewa(akiwemo bwana chizi),hakuna mtu ambaye ni mnyakyusa?
  2.Je kuna anayefahamu mchakato wa ajira/uteuzi wa bwana chizi kuwa ulifuata taratibu za ajira ama la?
  Nawakilisha
   
 18. F

  Fofader JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Ukweli tumeanza kuusikia! Uniform 17 kwa USD 50,000. Maofisa wawili nchini China kwa ajili ya kusimamia ushonaji kwa siku 45. Ama kweli kama hii ndio mwonekano wa busara alio nao Chizi na anatetewa basi tuna safari ndefu sana.
   
 19. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Hilo nalo neno...! Mwakyembe kamchana Chizi live leo mchana, yaani Chizi na uchizi wake kaanza kuilipia ndege hiyo ikiwa huko huko ! Ndio pesa ya kukodisha!
   
 20. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Hilo nalo neno...! Mwakyembe kamchana Chizi live leo mchana, yaani Chizi na uchizi wake kaanza kuilipia ndege hiyo ikiwa huko huko ! Ndio pesa ya kukodisha!
   
Loading...