Jaman watanzania startimes nan kaisajili??! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaman watanzania startimes nan kaisajili??!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzalendo daima, Jun 9, 2012.

 1. M

  Mzalendo daima Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Yan hawa jamaa ni wez asee customer care tu unapiga wanakata zaid ya elfu moja hata dakika haiishi; izo vocha zao mwezi hazimalizi wanakata ovyo; cjui hii kampun ilisajiliwa na nan
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Ni Joint Venture Company kati ya TBC na wachina
   
 3. M

  Mzalendo daima Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  CHIPUKIZ MEONA EEEH hAWA majamaa wez....... Daah acha tu
   
 4. Ansah Miles

  Ansah Miles JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ni wapumbavu kweli na kwani jana EURO walionyesha mechi moja ya kwanza tu... wakati wiki nzima walijinadi kuwa wataonyesha mechi hizo
   
 5. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  customer ni wizi mtupu,unapga cm haipokelewi na hela wanakata si ufala huu
   
 6. mtukichwa

  mtukichwa Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani, kuna mwenzetu humu ndani ambaye ameshawahi kuandika malalamiko haya kwa kampuni husika? Na majibu yake yalikuwa vp?

  Nadhani baada ya hapo tuendelee kupanga mbinu mkakati namna ya kulitatua hili swala la kuibiana bure bure tena kimachomacho.

  Naendelea kuwaza na kutafakari kuhusu hili pia.

  Sent from Kijijini kwetu
   
 7. M

  Mzalendo daima Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mtu kichwa lazima tujipange asee, huu wiz umezid
   
 8. M

  Mzalendo daima Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  wez wes tu mi wanakata matangazo yao hata mwez haujafika nikiwapigia customer care wanambia et weka tena yan yan yan wanaboa
   
 9. M

  Mzalendo daima Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  wapuuz wizzo hata fb page yao ukuwaandikia pale wanafuta
   
 10. M

  Mzalendo daima Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  hawana lolote wez hawa
   
 11. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha uwongo kijana!Ukiweka vocha unaangalia mwezi mzima!!
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama ni TBC ujue kuna mkono wa ccm na kila penye ccm ujue wizi na kila aina ya mabaya na mapungufu yapo!
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Dawa yao si moja tu ni kuamua kutonunua mwisho wa kiburi chao utaonekana tu! TTCL waliringa sasa wako wapi?
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Dawa yao si moja tu ni kuamua kutonunua mwisho wa kiburi chao utaonekana tu! TTCL waliringa sasa wako wapi?!
   
 15. h

  hopking Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nauza king'amuzi beichee elfu kumi tu!
   
Loading...