Ni kutapatapa ama kuna ukweli............?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
KESHO CCM JANGWANI KUWAONYESHA WATAALAM WA...

Cyprian Majura Musiba posted in FIKRA PEVU

Cyprian Majura Musiba
12:23pm Jun 8
KESHO CCM JANGWANI KUWAONYESHA WATAALAM WA KUPOTOSHA CHADEMA KWAMBA BILA CCM NCHI ITAYUMBA..KWENYE MSAFARA WA MAMBA HATA KENGE WAMO..

KENGE NI VYAMA VYA SIASA KIKIWEMO CHADEMA
CHADEMA WATASHANGAA UWANJA WA NYUMBANI WA CCM JANGWANI UTAKAVYOFURIKA

VUA GAMBA,VUA GWANDA..VAAAAAA UZALENDO HALISI

ATAKUWEPO MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI AMBAYE PIA NI RAIS WA TANZANIA MHE.JAKAYA MRISHO KIKWETE.

WATAKUWEPO MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI

DK SLAA KURUDI CCM RASMI KESHO KWA KISHINDO JANGWANI BAADA YA KUSHINDWA KUELEWANA NA MWENYEKITI WAKE FREEMAN MBOWE KWA MUDA SASA.

DK SLAA ATAAMBATANA NA VIONGOZI KADHAA WAANDAMIZI WA CHADEMA WAKIWEMO BAADHI YA WABUNGE WA VITI MAALUMU WAWILI

email_open_log_pic.php

View Post on Facebook · Edit Email Settings · Reply to this email to add a comment.
 
hawa jamaa walipewa kazi ya kutuletea maendeleo kama walivyotuahidi sasa wanatuita viwanjani tukafanye nini? mimi nilidhani utekelezaji wao wa ahadi zao kwetu ndio uwanja wa sisi kuwahukumu au la,sion mantiki ya uongozi mzima wa nchi kujazana jangwani huku mashirika ya umma yakitafunwa songea wiki ta nne hawana umeme kero kibao,huku watu wakibebwa kwa maroli kwenda kuhudhulia mkutano ambao hata iweje hauwezi kuzijibu kero walizonazo wananchi any way hiyo ndio siasa hasa inapofanywa kwa wasiojitambua "wajinga ndio waliwao"
 
haha! hii kali, yaani CCM wameishiwa mbinu zote za kuvutia watu kwenye mkutano wao hadi wameamua kuwa waongo kiasi hiki? Lakini haishangazi, kwa miaka mingapi, CCM wamekuwa wakiudanganya umma wa watanzania kwamba itawaletea maisha bora na badala yake hali imezidi kuwa mbaya mwaka hadi mwaka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom