Kn thread iliyopandishwaga mwk jana ila nilipenda tuiangalie tena. Nipandishiwe jmn! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kn thread iliyopandishwaga mwk jana ila nilipenda tuiangalie tena. Nipandishiwe jmn!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Jun 3, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nchi yetu Tanzania ni ya ngapi kwa msimamo wa Nchi tajiri Africa jamani?

  Ningependa nijue msimamo huu unawekwa kwa muda gani baada ya kutolewa na jarida lengwa.
  Na ninakumbuka tulikuwa karibia kabisa tuwe wa mwisho.
  Je? Kwa hali tuliyonayo kiuchumi safiri hii hatujawa wa mwisho jamani?

  Mwenye ile kumbukumbu atupandishie wajameni.

  Na Ivisible si mbaya akitupandishia kwa uwepesi kutokana na uzoefu wa mtandao wetu!


  JF! Pamoja Daima!
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wajameni!

  Ina maana wanaJF,wote tumepitiwa?

  Ni kwmb hakuna hata member mwenye kuwa na kumbukumbu ktk msimamo wa Nchi ilivyo kwa sasa?
   
Loading...