Madaktari wapigwa changa la macho na serikalii!! Mgomo mwingine wanukia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari wapigwa changa la macho na serikalii!! Mgomo mwingine wanukia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SirBonge, May 20, 2012.

 1. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Ni habari za kusikitisha sana kwamba serikalini bado kuna watu wenye vichwa ngumu na ambao hawajifunzi kutokana na makosa! Kwa kifupi ni kwamba zile kamati za serikali za kushuhgulikia madai ya madaktari baada ya mgomo zinaendeleza usanii na sasa Madaktari wamemwandikia mheshimiwa raisi barua ya kumtaarifu hilo...Kuna dalili za kuwepo mgomo mwingine! Mungu pishia mbali
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wait and see Policy itawakost tena.
   
 3. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mgomo mpya wanukia!this is so bad and sad!
   
 4. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wagome Madaktari wapuuzi sana hawajui linchi lenyewe limefulia wao bado wanadai mishahara mikubwa subirini tuwe kama Greece tutakagawana hiyo mishahara kwa hiyari au kwa lazima.
   
 5. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepapenda hapo kwenye red. Utakuwa umetumwa na shetani ku-irritate ma-Dr wagome ile mpate damu za tutakao kufa.We ni agent wa Lucifer, Illuminati.
   
 6. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani madokta wachukue hatua waonayo ni sawa.
   
 7. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Peoplessssssssssssssssssssss
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 9. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  hapa ni kuorganize mgomo nchi nzima wafanyakazi wote
   
 10. n

  ndio mimi New Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  viongozi si wanatibiwa nje ya nchi. walalahoi ndo tutateseka. mungu tuepushie hili
   
 11. N

  NG'ONGOVE Senior Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli serikali ya ccm inacheza na uhai wa tz. Nakumbuka dai mojawapo la madaktari ilikuwa ni kuboresha mazingira na vitendea kazi ktk sector ya afya. Lakini cha ajabu pale muhimbili kuna kipimo kinaitwa CT-SCAN tangu kimeharibika karibu ni miezi 5 sasa, serikali iko kimya kabisa, kama vile hakuna kilichotokea pamoja na ahadi zote za waziri mkuu kuwa angehakikisha mazingira yanaboreshwa na vitendea kazi vinakuwepo. Du! kazi kwelikweli.
   
 12. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ni dhahiri sasa kuwa mgomo mpya uko njiani big up sirbonge kwa kuliona hili mapema
   
 13. d

  dadamzuri Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waache viongozi wakatibiwe nje! Hawajui yaliyomkuta Bingu.
  Emergency ikitokea hawafiki popote!
   
Loading...