Niandikeje mabango ya kubeba kesho kwenye mkutano wetu (CCM) pale Jangwani a.k.a. Chadema-square? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niandikeje mabango ya kubeba kesho kwenye mkutano wetu (CCM) pale Jangwani a.k.a. Chadema-square?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lsk, Jun 8, 2012.

 1. L

  Lsk Senior Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nduguzanguni wanaJF, Nimeteuliwa kuwa mmojawapo wa waandaaji wa mabango ya kuyabeba kwenye maandamano ya Chama chetu hapo kesho. Naombeni ushauri wa maneno ya kuyaandika kwenye mabango ya mkutano wetu wa CCM hapo kesho.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Serikali iliyoko madarakani tunataka ijuuzulu mara moja.

  Tumechoka na uongozi wa sisiem.
  Jk & mawaziri wake wote hatuwataki.

  SAUTI TOKA NGUVU YA UMMA!
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,823
  Trophy Points: 280
  Hata kama wanachama wote wa ccm watahama na kubakia nape peke yake, ccm itazidi kuongoza.
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Tutauza wanyama uarabuni na ulaya wakiisha tutaanza kuwauza wadanganyika..........ccm oyeeeeeeeeeeeeeee!
   
 5. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  andika hivi " CCM ILIZALIWA 1977/2/5 IKAANZA KUUGUA 1995 INAKUFA 2015/10/30"
  BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA! PUMZIKO LAMILELE JEHANAMU"
   
 6. ZALEOLEO

  ZALEOLEO Senior Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani mmeambiwa mwende na mabango? " Habari zenu oil chafu na vinyago wenzangu"
   
 7. Adoe

  Adoe JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ''Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana iwapo nitaongezewa muda zaidi wa kuwaongoza''
   
 8. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  na kuzimu shetani haitaki!sijui jehanamu ya aina gani inastaili!marungu hapa hapa duniani kwanza
   
 9. U

  Uswe JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  andika hivi
  "MIGOMBA YOTE INA RANGI GANIIIIIIII?"
   
 10. z

  zamlock JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  twende tuagane wote wana ccm kwa sababu atuna muda mrefu tunapotea kwenye ulingo wa siasa hapa tanzania
   
 11. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  CCM tulikupenda lakini Kifo kimekupenda zaidi
   
 12. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ccm r.i.p
   
 13. S

  STIDE JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Andika hivi:
  UJINGA NA UMASIKINI WA WATANZANIA NDO MTAJI WETU CCM, VIBORESHWE!!
   
 14. Mufa

  Mufa Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Andika siku za ccm ikulu za hesabka na nepi azidi kuharakisha kuua chama
   
 15. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Jk, umekuza Demokrasia Wanaobeza wataitafutwa kwa ghalama
   
 16. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  andika ... NDALICHAKO ABADILI DINI TUTAMSAMEHE"
   
 17. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Uhuru na amani ni kazi ya ccm!
   
 18. B

  BigMan JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Cdm kupata kura katika mikoa ya kanda ya kaskazini tu mwaka 2015
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Weka link Kama ile thread yako ya Jerry muro Pambaf
   
 20. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Andika hivi."SHETANI YUPO PAMOJA NA CCM KTK UTENDAJI WA KAZI ZAKE."
   
Loading...