Mkutano wa ccm unavyoendela sasa, dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa ccm unavyoendela sasa, dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mfwalamanyambi, Jun 9, 2012.

 1. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  - Mkutano umetawaliwa na mipasho badala ya kueleza maudhui ya mkutano kama walivyotangaza.

  - Kina mama wakiongozwa na H. Kopa wanaonekana ndio washangiliaji wakubwa na wengi wao wanaonekana wanakula mali za wakubwa.

  -Wanaume wametulia na wanasikiliza huku wanahuzunika, naona bado hawajalipwa posho za kuhudhuria mkutano.

  -Watu wamekaa chini ili wasijedondoka kwa maana hawana nguvu, maisha ni magumu, wamekata tamaa na wanaonekana kuwa na mawazo makali. ushabi bwana!!!!!.

  .............tunaendelea na mkutano.
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape is real riding a dead horse. Naona show za kumsifu jk. hakuna la maana.CCM kwishney!!!!!!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Kopa kaja na bintiye?kama bintiye yule tulimuona mlimani city yupo nije
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Nape ndiye aliye anzisha mipasho nyinyiemu.
   
 5. N

  Neriah JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  naona hawana sera mkutano wamejaa wazee ambao shati zao zimetob0ka na waliorudisha ni maskini wa kutupwa nyumbani wanawaza bamia ba  mia
   
Loading...