Wana jf, kutokana na tatizo la ajira linaloikumba nchi yetu kwa sasa,nashauri vijana(wanachuo) wote na wasomi mbalimbali wenye uwezo wa kuongoza wajiunge CHADEMA sasa ili wapate muda wa kumulikwa...
Na Jabir Idrissa
Hali mbaya ya usalama
iliyoanza Jumamosi usiku,
imesadifu nilichokieleza wiki
mbili zilizopita. Nilimsihi Rais
Dk. Ali Mohamed Shein, kupitia
safu hii, kuwa asikubali...
Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo inaelelekea engi tutaaminishwa kwamba wazanzibari wengi wanapenda kujiondoa kwenye muungano wa sasa. Inawezekana kabisa hata wa-bara (watanganyika) nao walio wengi...
Two British women in their 100s have been named the oldest sisters in the world, after one celebrated a record breaking birthdays. Marjorie Ruddle, who recently turned 105, and Dorothy Richards...
Kipindi cha kuelekea kuanza kwa mashindano ya Uero 2012 StarTimes walikuwa wanatoa matangazo kwamba kupitia kwenye king'amuzi cha Startimes.. watakuwa wanaonyesha moja kwa moja fainali hizo...
Vijana maisha tunao ishi sasa hapa tanzania siyo kusudi la mweyezi mungu alieiumba nchi yetu,maana mungu ametupa vitu vingi kiasi kwamba nchi nyengine zinatamani kuwa na mali kama zilizopo hapa...
Hiva majuzi kulikuwa na kipindi kilichorushwa katika ktuo cha televisheni cha Clouds kilichohusu Ukweli kuhusu Freemasons, kwa kifupi wageni waalikwa ktk kipindi kile hakuna chochote...
Habari ni ndefu lakini naomba msome mpaka mwisho. Si maneno yangu bali nimeileta kama ilivyo. Ninatumaini watakaoguswa watamsaidia.
ATHUMANI HAMIS AONGELEA MUSTAKABALIWA MAISHA YAKE NA AOMBA...
Hii ni katika kuongea hasa kwa vijana hawaongei kiswahl sanifu,yaan wanakela maneno 3 kiswhl mawili kingereza.Wanawaiga wa marekan kuongea kingereza cha wingereza na lugha zao.Sina maana wasiongee...
Nimesubiri miaka 4, walituzuia kujenga nyumba kwenye maeneo/viwanja vyetu ati kuna mradi wa kuiendeleza Kigamboni . Wamepita na kuchukua majina kwa ajili ya tathmini lkn majina yetu wengine...
Waungwana, naomba kuuliza, Naishi ugaibuni na nilimaliza shule Miaka miwili iliyopita na sasa nataka kurudi nyumbani na vitu vyangu, Naomba kuuliza je bado ninahaki ya tax exemption au sinahaki...
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/276398-jerry-muro-atangaza-kituo-cha-tv-atakachofanyia-kazi.html
Pitia link/mada hapo juu yenye mlengo wa kujitangaza.
Huu mtindo wa...
Wakuu leo tuongelee hili jambo la kusema eti Tanzania kuna uhuru wa kutoa maoni. Mimi nasema si kweli!!! Ukweli ni kwamba kuna uhuru wa vyombo vya habari yaani vimeruhusiwa kuanzishwa na kufanya...
Ukikwama na kuwapigia ni taabu sana kuwapateni tatizo ni nini? Mbona USA unapiga Call centre haraka unajibiwa? Ni heri mzitoe kabisa tujue hakuna Namba za Huduma kwa wateja. Nawasilisha.
This is yet another Shocker .
Her name I got was Cynthia, she was picked by an Alhaji, and they went to have fun, after that the Alhaji took her to his guest house, and gave her $2000 to suck and...
Mimi nimetembelea maeneo ya Mabogini kilomita kama tano toka Moshi mjini nikiwa katika hii Reli, kweli hali ni mbaya sana kiasi kwamba hata wauza vyuma chakavu walikwisha iba ngozo za chuma...
Kama mnavyojua Matungucha, Kimara ilikuwa ni sehemu muafaka ya wapenda maendeleo kukutana jioni na kubadilishana mawili matatu kuhusu changamoto za siku.
Sasa huu mchakato wa kujenga miundombinu...