Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Emirates na KLM mkome narudia, mkomeeeee kunitumia ofa zenu za kijinga ilhali nimejaribu kwa kila namna kujiondoa kwenye subscriber list ya email zenu bila mafanikio: kitu ambacho nadhani ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau, Niko kwenye Panton hapa navuka from Kigamboni. Nimepita keenye Foleni pale walipokodishiwa Suma Jkt ni Ufisadi wa hali ya juu Pale getini kuna njia mbili, ya kushoto ambayo ndio ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa hali ya mambo ilivyo ccm wamechanganywa sana na hili vugu vugu la mabadiliko. Kwa mambo ambayo viongozi wa ccm wanafanya inaonesha kabisa wamepanic na hawajui waanzie wapi. Kwanza kabisa ni...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Zuku kana Sio kufua wamefulia,wamekuja. Kwa mbwembwe sasa tumewaona Kama wababaishaji tu,hata Euro mmeshindwa kuonyesha?.Jamani anaelitaka mimi naliuza tena na package yake ya 60,000/=.nitafute tu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jerry Muro Mtangazaji/Mwandishi wa habari ambae alisimama kufanya kazi kwa miezi kutokana na kesi ya kuomba rushwa, kesi ambayo baadae alitangazwa kushinda, ametangaza kituo chake cha kazi baada...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanajamvi poleni kwa majukumu! Kuna tabia wanazionesha na kufanywa na wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Mlimanicity hazitufurahishi wateja. Vocha zao hazina ubora ukikwangua namba zilizofichwa ili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naombeni kufahamishwa,wale watangazaji wawili wa kike wa Radio One.ROSE CHITARA NA ASIA MOHAMED wapo wapi?maana kitambo sn hewani siwapati.NAWASILISHA
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Imeniwia vigumu kuamini nilichokiona leo ila ndio ukweli. ITV walitangaza habari kuhusu kifo cha muasisi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo na mara wakapata kigugumizi then wakaweka habari ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Vyombo vyahabari vimeripoti kuwepo kwamgomo wamadaktari next two wks kama makubaliano yao naserikali hayatotekelezwa!(NIPASHE,MWANANCHI).
0 Reactions
15 Replies
2K Views
BY ZANZIBARDAIMAJUNE 8, 2012 Umma wa Kizanzibari ukiwasikiliza viongozi wa Jumuiya ya Uamsho katika Msikiti wa Mbuyuni. Na Ahmed Raajab, Raia Mwema 6 Juni 2012 UKILALA unaamka. Kama huamki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
today was watching the movie called the A-team...one of the core-starring is Liam Neeson who acted on famous movie called TAKEN AND UNKNOWN.....sasa ukiiangalia hiyo movie(the A-team) mnamo...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
nchi ya kenya imepata msiba baada ya waziri wake SAITOTI na watu wengenine sita kufariki kwenye ajali ya helcopter ya jeshi.hao sita nao wanasemekana pia ni viongozi wa serikali.nawatakia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima JF, Katika hali isiyo ya kawaida, wana wa kimara mwisho wameyarushia mawe magari aina ya Coaster sita ambayo yalikodiwa kwa ajili ya kujaza uwanja wa jangwani. Gari hizo kwa taarifa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Umeme umekatika kama lisaa sasa hapa mjini Moshi, kwa kazi niliyokuwa nikifanya inayohitaji umeme ilinilazimu kupiga simu customer service hapa mjini ili kujua na ndipo nilipopewa jibu kwamba ni...
0 Reactions
3 Replies
865 Views
CCM, CUF jino kwa jino Na Jabir Idrissa CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) vimeanza kufarakana; na serikali yao ya pamoja inaweza kusambaratika wakati wowote, MwanaHALISI...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ikiwa ni kamda nimekaa unyamwezini nimeshindwa kuelewa kabisa tatizo nini kwa ndugu zetu hawa Nimejaribu hata kuulizia tofauti na mikoa mingine Wanyamwezi mbona ngoma zenu za asiri hazichezwi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Muundo wa Muungano: Serikali Tatu, Moja, Mbili? Zote! Zitto Kabwe Mwalimu Azaveli Lwaitama ni mwalimu na mlezi wangu nje ya darasa. Alipokuwa Katibu wa Umoja wa Wanataaluma Chuo Kikuu cha Dar es...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa jf nilikuwa naangalia habari hapa chanel ten, kuna habari kuwa mwanaharakati Bob Makani amefariki dunia na cdm imetangaza wiki ya maombolezezo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…