Emirates na KLM, siitakiii! nasema Sitakii!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Emirates na KLM, siitakiii! nasema Sitakii!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndjabu Da Dude, Jun 11, 2012.

 1. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Emirates na KLM mkome narudia, mkomeeeee kunitumia ofa zenu za kijinga ilhali nimejaribu kwa kila namna kujiondoa kwenye subscriber list ya email zenu bila mafanikio: kitu ambacho nadhani ni makusudi kabisa kwa upande wenu.

  KILA NIKIJARIBU KUJIONDOA KWENYE ORODHA YENU YA EMAIL SUBSCRIBERS, GHAFLA NA KWA NAMNA YA AJABU KABISA NAPATA UJUMBE KWAMBA IMESHINDIKANA, ILHALI MKIENDELEA KUNITUMIA MESEJI YA OFA MBOFUMBOFU KUTUMIA EMAIL ADDRESS YANGU KILA KUKICHA!! Nasema achaneni na mimi!! Kudadekii!
   
 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu, maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga. Wewe si ulikubali hapo mwanzo wakutumie hizo offer? Basi kuwa mpole tu.
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  umeona ofisi za KLM na Emirates humu jamvini??:boxing::boxing:
   
 4. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Labda nikuulize wewe, hivi jee kuna kuna Ofisi ya CCM, CHADEMA, BUNGE, IKULU au chombo chochote cha serikali humu jamvini, lakini kila siku ni lawama tele!! Lakini majibu na ushauri kwa wanaofahamu au kuelewa mambo si ajabu bila kujali mahudhui ya maada. Kwa hiyo, la msingi, ni kwamba kama huna hoja bora ukae pembeni mkuu! Kwani hujalazimshwa kujibu, na hakuna anayetaka kusikia harufu ya domo lako linalonukaaa! Kudaadeki!
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  ngoja nikujibu ipasavyo
  • humu hakuna harufu, lunless computer yako ina uwezo wa pekee wakunusa midomo ya wanaopost from any angle
  • pili, sidhani kama mtu anaweza kusikia harufu.... harufu haina sauti
  • tukija kwenye uwepo wa CCM, Bunge, CDM etc... humu ndani kuna stakeholders wapo tena sana tu na wanafanyia kazi mawazo ya wachangiaji... hali siyo hivyo kwa KLM wala Emirates kwani wanaoamua promo materials ziende wapi ni wewe mwenyewe ulikubali hiyo invitation kwa namna moja ama nyingine
  • Umelalama kipuuzi nimekujibu kipuuzi
  • kuhusu hoja ya kulalamika, nadhani wewe ndie unayelalamika hapa, mimi huwa naropoka tu, ya maana wanayachukua, mengine wanayadharau

  Mimi naenjoy sana kutoa povu watu kama wewe, wanaonijua huwa wananiacha nibwabwaje wanayapisha tu, ila wewe kutokana na mcharuko wa utoto umekurupuka..... ni sawa na mtu aende Emirate kulala ati precision hawagawi face towels kama za emirates......... YOU SHOULD TRY TO IDENTIFY YOU AUDIENCE KABLA YA KULALAMA

  KAKOJOE ULALE SASA
   
 6. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Siyo sahihi madai yako hapo juu. Kwa kifupi, kiini cha malalamiko yangu ni kwa nini KLM na EMIRATES wanaendelea kunitumia offer zao kupitia email address yangu, wakati nimefuata maelekezo na utaratibu wao wa kujitoa kwenye email subscribers list zao bila mafanikiao yoyote tofauti na wadau wengine. Kila mara nikijaribu kujitoa kwenye email subscriber's list za Emirates na KLM napata ujumbe kwamba imeshindakana kutokana na sababu wanazozijua wao wenyewe. Sasa iweje wewe uje juu ukijifanya unajua kila kitu? Kama hujui au huelewi ishu bora ukae kimya mkuu! Kwani hakuna anayetafuta kufahamu ujinga wako!!
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Mkuu mimi ni mjuaji wa kila kitu... yani hujanisoma tu??

  Kwanza sikuja juu kabisa... nimeuliza tu, umeona ofisi humu?? wewe ndio ukaja juu.............
  BTW, nimepekua-pekua na kugundua mimi na wewe hatuna tofauti, kuanzia kujidai tunajua, kujidai tunajaji wenzetu na kukandya wengine

  Quote yote basi tubishane vizuri maana napenda sana vagi za mtandaoni, ndio maana nikajiita janjaweed

  KUmbe ikiingia upande wako inauma eh??

  Kuhusu kujitoa, unalo hilo.... uliingiza kchwa mwenyewe!!
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kwani wakati unakata ticket online hukupewa option ya ku opt in au opt out kama utapenda kupewa offer na other details online through your email? kama uli opt in that means ulielewa ndio maana ukakubali kuwa uwe unapokea hizo emails zao. Ungekuwa na la kulalama kama wao wametuma email address yako ktk kampuni nyingine hapo tungesema wameuza details zako
  still unaweza kuwasiliana nao kuwa hutaki tena kupokea hizo emails lkn kama wewe ni msafiri wa mara kwa marathrough KLM na EMIRATEs na huwa unakata ticket online expect kupata emails hizo.

   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  pole mwaya.
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  job true true, kwa nini ulijiunga ilhali haupendi?

  pole lakini....
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Iamuru email yako isizipokee email za hao watu na tatizo litaisha.

  Nafikiri hata Internet security nyingi zinafanya hivyo.

  Kama wewe ni Kihiyo/Maimuna wa haya mambo, omba msaada wakali watakuelekeza.
   
Loading...