Nimejaribu kuangalia haya mashirika ya mifuko ya jamii nakugundua kuwa ni wadharimu wanyonyaji wakuu wa wananchi!!
haiwezekani mwananchi achangie pesa yake na yeye asifaidike!!
Na wakati walumlipa...
POSITIVE THINKING
Positivethoughts are life enhancing. They empower you and make
You feelstronger and more confident. Positive thinking is not just a
motivational idea. It has measurable...
Wakuu,tumepanda bus la Sumry kuja Dar, limeharibika hapa nje ya Makambako toka saa 3 asubuhi, hawataki kuturudishia nauli,wametuahidi kutuletea bus jingine tokaMbeya wanatudanganya lipo karibu na...
Wadau.
Nyumbani kwangu mabomba yanatoa maji ya chumvi japo huwa yanaingia kwenye reservoir then na pump kwenye tank ndo yanaingia ndani.
Sasa natafuta utaalam wa kuyabadili haya maji chumvi ili...
Serikali kupitia Tume ya Mawasiliano nchini imesema kuwa ifikapo Disemba 31 mwaka 2012 ndiyo itakuwa mwisho kwa vituo vyote vya televisheni kurusha mawasiliano yake katika mfumo wa analogy na...
Professa Tibaijuka alisemea habari za migogoro ya viwanja Kigamboni, lakini alianza vizuri uwaziri wake, nadhani naye wamemdhibiti wenye hela. Aliwahi kwenda mwenyewe kujionea uzandiki wa matapeli...
Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda...
Hivi kwa nini mtu akifiwa analeta habari za msiba humu? mara oh nimefiwa na baba, mara ohh na mama, mara rafiki yangu mpenzi ...sisi wengine wanatuhusu nini??
Sasa kwa nini hamjulishani huko...
Siikiliza Bunge la nane la Bajeti katika Computer yako:
tembelea www.arushamambo.com click "Sikiliza Arusha Mambo FM..." redio ikifunguka kwenye Page ya Tune IN tafadhali click LIKE au toa maoni...
Nakiri mimi sio msikilizaji wala mtazamaji wa hizi media za Clouds, leo kuna mtu kanipa lift kwenye gari yake akawa amefungulia hii radio ghafla tangazo la biashara likagonga "hallo Boss nimepiga...
How the Chinese make fake eggs from chemicals
Fake egg was made from calcium carbonate, starch, resin, gelatin, alum and other chemical products. Step 2 egg production, Raw egg into the mold...
Jamani kunani njia ya tegeta maana nilikuwa kwenye gari nimekutana na difender zimejaza ffu wamejilodi bunduki na mabom ya machozi ya kutosha bila kusahau kunamagari kadhaa ya washawasha.
Vijana...
WANAJF,leo nikiwa naingia Lushoto town nimeshtushwa na habari kwamba zaidi ya wafungwa 1o wametoroka gerezani kupitia tundu kubwa walilochimba wenyewe. NAOMBA MWENYE HABARI KAMILI ATUPIE UZI...
Watanganyika hawa wazanzibari wakiongozwa na viongozi wao wanawanyanya sana watanganyika huko zanzbaa, yani inakuwa rahisi kuishi kenya kuliko kuishi zanzbar hapa najumuisha ya ni kwa dini zote ...
Manispa ya Temeke imewapora ardhi wanachi wa Kata ya Somangila mitaa ya Kizani (Gezaulole), Mwela, na inaelekea maeneo ya Mwongozo.
Historia ya mradi
Mradi wa Viwanja 5,000 Eneo la Gezaulole...
picha hizi zikionyesha ng'ombe wa wafugaji wakiwa wamepigwa risasi na maaskari wa wanyama pori katika mbuga ya mikumi
Baadhi ya ng'ombe walifariki baada ya muda kidogo kupita kutokana na majeraha...
vijana wengi wa miaka 26 kushuka chini ambao wengi wao ni wanavyuo au wanataaluma mbalimbali wamekuw addicted na mitandao.
Ninaposema addiction namaanisha siku hizi mtu hapitishi siku bila...
Dear all,
Infact kama upo barabarani make sure your windows are up and you don't take anything from traffic lights.
TRUE STORY:
Kuna jamaa yangu kama wiki mbili zilizopita...
Spanish furniture company OHEA has created a bed that unsullies itself automatically. Using two rollers at the foot of the bed, the covers are smooth out as the pillows levitate to accommodate...